Nchi za mabeberu wana Ramani zinazoonyesha maliasili ilipo Tanzania na nchi nyingine mbili. Wao wanaamini walitukabidhi tuwatunzie lakini si zetu

Tuombe hzo njia watakazozpanga za kuchukua mali zao isije ikawa ni kutupandikizia vita vya wenyew kwa wenyew maana hali itakuwa mbaya,cha msingi tukae nao mezan tuone tunafanyaje,maana kwa akili zetu tulizopewa na mwenyez mungu szan kama tutapata uwezo wa kuwa na mitambo ya kuchimba na kuchakata hayo madini
 
Hata hiyo mikataba tukipewa tuisome yachosha hivyohivyo na ndo twaishia kusaini bila kusoma hadi mwisho na kuelewa.
Kwa andiko kama hili lililowekwa hapa, sidhani kuwa hata huyo aliyeliandika ataweza kusoma mkataba wowote na kuuelewa.

'Seriously'. Sitanii kabisa.
 
Wakoloni wanarudi kwasababu huu ndo wakti muafaka.

Hata mwenzetu Barafu aliongelea hili kuhusu mgodi wa Almasi wa Williamson.

Hili la wao kurudi nimelizungumzia kwenye mada.

Pia nikamtaja huyo mwandishi Kaplan ambae kitabu chake kinazungumzia mabeberu watatu watakaokuwa wakipigana vikumbo ndani ya bahari ya Hindi.

Nchi hizo za kibeberu ni China, Marekani na India.

Nimeeelezea uzuri tu.
 
Tatizo ni lilelile umaskini na kupenda 10%

Ukisema mambo ya 10% utaeleweka. Sio mambo ya kusema sijui kuna mtu ana ramani, au atachukua raslimali kijasusi. Namna pekee raslimali zetu zinaweza kutoka bila sisi wananchi kufaidika, ni tamaa za hawa viongozi wetu majizi ya kura, na sio kijasusi kama ulivyotaka kupotosha hapo mwanzo.
 

Hao mabeberu sijui wawekezaji wapo tu miaka yote, na hawatumii nguvu bali ushawishi na 10%. Ukiona wanatumia nguvu, basi ujue nchi husika ina matatizo mengine hasa ya kiutawala. Na isitoshe nchi yetu haina madini ya hivyo, kiasi kwamba hao wakoloni wachanganyikiwe.
 
Ukiona mtu anatumia sana neno 'mabaleberu', uwe na mashaka naye sasa juu ya uelewa wake kuhusiana develipment na civilization dynamics za Dunia.

Sidhani kama kuna content kwenye hii mada inayopnekana inastahili kujadiliwa na great thinkers.

Imekaa kama ndoto isiyoeleweka imeanzia wapi na inashia wapi. Haina hata source wala analysis yoyote. Ni hadirhi ya kufikirika.

ECONOMY ECONOMICS

10 Countries With The Most Natural Resources

FACEBOOK

TWITTER

LINKEDIN

By

CRAIG ANTHONY





Updated Jun 25, 2019

TABLE OF CONTENTS

CLOSE

10. Australia

9. The DRC

8. Venezuela

7. The United States

6. Brazil

5. Russia

4. India

3. Canada

2: Saudi Arabia

1: China

Natural resources or commodities are the raw inputs used to manufacture and produce all of the products in the world. These resources are found in the earth including those extracted from the earth and those that have yet to be extracted. They grow naturally without any help from humans. Commodities are either renewable or nonrenewable. Renewable resources are those whose supply is infinite—such as solar power—while nonrenewable ones have a limited supply and can no longer be used once the supply is exhausted like

Tanzania na Angola are not even among the top 10.
 
Mkuu 'eliakeem', kwa kusoma tu kichwa cha habari ya andiko hilo, tayari nimekwishatambua ni habari ya aina ambazo kikawaida huwa sizipi uzito sana.
Lakini nakuahidi, nitatafuta muda niisome hiyo habari, baada ya hapo ntakupa mrejesho juu yake.
 
Nadhani naposema ramani hujaelewa.

Ramani ninazozisema ni zile walizochukua majasusi wao wa awali unawafahamu?

Hata leo bado wanachukua wewe watambua hilo?

Kama waliweza kuwa na barabara za maporini kurusha ndege zao ndogo watashindwa kuchukua picha za ramani ambazo ni up-todate?

Sizungumzii ramani ya nchi, nazungumzia ramani zote za kimkakati.
 
Tanzania kwa sasa ni ya pili Afrika kwa kuzalisha dhahabu pekee baada ya Afrika Kusini.

Wafahamu hilo?
 
Ujasusi wa kiuchumi hauhusiani na 10% wanayopewa viongozi wa CCM kutoa bure rasilimali zetu.
Uhusiano upo kinachotakiwa ni vitu viwilli vyaitwa kwa kiingereza lobbying and grooming.

Ujasusi wahusiana sana na hiyo njia ya pili grooming maana mnakuwa na mapandikizi ndani ya serikali na nchi kwa ujumla.

Hii topic ni pana sana aisee.

Ina mambo mazito sana.

Mimi na wewe tupo kwenye session layer ya mawasiliano bado hatujafika kwenye top layer ya mtandao.
 
Tanzania kwa sasa ni ya pili Afrika kwa kuzalisha dhahabu pekee baada ya Afrika Kusini.

Wafahamu hilo?

Richard bana, kuwa wa pili ni nini? Tunajali tija/mchango wa huo uzalishaji, na sio nafasi tunayoshika kwenye uzalishaji. Nenda kwenye maeneo dhahabu inayozalishwa hapa nchini, kisha pima maisha ya wananchi yakoje. Kama bado kuna tatizo la madarasa na madawati, kuna tatizo la maji, kuna watu ni masikini wa kutupwa, hata tungekuwa wakwanza mbinguni na duniani haina maana yoyote.
 
mara mikataba kama hiyo inakipengele cha NDA (non-disclosure agreement )Huvyo huwezi kukiuka hicho kipengele kirahisi
Sasa icho kipengele kingefanya kazi Kama shughuli ujenzi ingekubaliwa, lakini saizi mkataba haufanyi kazi Yani waste au kwa ajili ya kujifunzia tu kwa trainee na wanafunzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani hakuna tena mabeberu dunia.huyu jamaa kafilisika kimawazo.CAG kakague Wizara ya Madini na Nishati utujuze.Hupati dhahabu mpaka huyo au hao mnaowaita mabeberu waje wawekeze mamilioni ya dola.Sio madini tu sekta zote zinataka wawekezaji wenye mitaji.Tuliwakimbiza wakati wa awamu ya 5 matokeo yake CAG kayatoa.Jamani amkeni hii ni awamu ya 6
 
Mleta mada hizi mada wakati mwingine unachosha sana sijui ni viongozi ndiyo wamejawa na ujinga au wanaotawaliwa ndo wasmejawa na ujinga.

Fikiria Magufuli akiwa Rais alisema madhaifu ya huo mkataba na akajua kabisa kua siku moja inaweza kutekelezwa sasa alishindwa nini yarekebisha hizo kasoro zilizokwepo ili ujenzi uendelee kwasababu inayo faida kwetu? badala ya kufanya hivyo nae akaanza kulialia utafikiri hana hiyo nguvu.

Ujinga na plan ya muda mrefu inawasumbua sana viongozi wetu...sasa mtadi wa Gesi nayo itandelea huku tukikumbuka kauli ya Magufuli aliposema kua Gesi siyo yetu wajanja walishachukua na yeye akakaa kimya bila kuirekebisha.

Ni mpumbavu tu ndie anaweza kuamini kua Magaufuli alikua na nia njema na nchi hii...alikua na uongozi mbovu kama hao watangulizi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…