Nchi za Magharibi zimemtumia Putin barua ya onyo kwa mara ya kwanza

Nchi za Magharibi zimemtumia Putin barua ya onyo kwa mara ya kwanza

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Putin ktk mwezi wa Dec amerusha mabomu mengi kwa Ukraine mengine yame hit target while mengine Ukraine waliyadungua.

Ila jambo Mrusi hakujuwa nchi za Magharibi walikuwa wakifanya ktk hali ya usiri mkubwa ni pale Nchi za Magharibi walikuwa waki monitor all movement za Mrusi kukusanya silaha na kujenga maghala ndani ya Ukraine ili aweze kuanzisha vita vipya.

Ili kumchanganya Ukraine na Jeshi lake Mrusi alikuwa akishusha mabomu kama mvua ndani ya mji mkuu wa Ukraine Kyieve na miji mingine.

Ilipofika siku ya mwaka mpya Mrusi akafanya sherehe kubwa na kutuma mabomu ya happy new year kwa Ukraine nakuwapa salama ya happy new pasipo kujuwa kitakachoyapata majeshi yao watasimamisha vita.

Well jamaa akarusha mabomu siku ya happy new year ila walichomjibu Putin mpaka sasa anaona amehujumiwa Karibia maghala yote ndani ya Ukraine Yameteketezwa na Ukraine na mwisho wakapiga ngome kuu ya maandalizi ya vita ambapo takriban wanajeshi 600+ walikuwa ndani yake na wote inasadikiwa wamekufa.

Urusi ghafla amesimamisha vita na maombolezo yanaendelea japo anasema wamepoteza maisha wanajeshi 86 ila wajuvi wa mambo wanasema ni idadi kubwa sana ya vijana wameangamiza na uwenda ikabadilisha sura ya vita na mwisho Putin kuondolewa madarakani.

Kwasababu hali ni mbaya na wanajeshi wa Urusi hawana moyo wa vita maana wanakufa sana kama kuku wa kideri.

Unaambiwa mpaka natoka mitamboni inasemekana killer robots wamekuwa deploy hivyo Mrusi anauwawa na watu asio waona kwa mfano wamekuwa na uwezo waku detect infrared ya joto la binadam kiasi waki scan via satelite wanajuwa adui alipo jificha.

Mrusi haamini anachokutana nacho mchina rafiki yake hana hizo teachnology ana copy hivyo akiweka mitambo yako anakuwa uchi kwenye vifaa vya Magharibi kwa sasa nikama vita imesimama. Japo wanakutafuta kichwa cha mtu mmoja kimya kimya.

Mataifa ya Magharibi ili kumchanganya Putin wakijuwa Putin anatumia technology ya 1988 while mataifa ya Magharibi wapo on AI weapon.
 
Hii riwaya umejitungia!! Unaweza kuwa mtunzi mzuri wa hadithi za kufikirika! Kupiga kituo kimoja na kuua askari 89 sababu ya kushindwa vita.

Urusi ana askari zaidi ya milioni moja!! Ana silaha nyingi kuliko NATO yote! Marekani hana uwezo wa kupigana peke yake kwa karibu ya mwaka mzima bila kuishiwa pumzi!

Urusi imeweza kupigana huku ikiwa imewekewa vikwazo zaidi ya 6000 vya kiuchumi. Ni sawa na kupigana na mtu akiwa amefungwa kamba mikononi lakini akamudu kupigana kwa mwaka mzima!

Urusi imeweza kupigana huku ikiwa imefungwa mikono kwa njia ya vikwazo vya kiuchum,i! Hakuna Taifa lolote duniani linaloweza kupigana katika mazingira ambayo Urusi inapigana!!
 
Hii riwaya umejitungia!! Unaweza kuwa mtunzi mzuri wa hadithi za kufikirika! Kupiga kituo kimoja na kuua askari 89 sababu ya kushindwa vita. Urusi ana askari zaidi ya milioni moja...
Wewe inaonekana huenda huna ukaribu na masuala ya kijeshi. Iliyopigwa ni barracks siyo kituo.

Ukraine inasema askari waliokufa ni zaidi ya 400. Waziri wa Urusi juzi alisema ni askari 63, leo anasema ni 89, bloggers wa Urusi wanasema serikali yao kusema waliokufa ni askari 89, ni uwongo.

Waliokufa ni zaidi ya 100. Mashuhuda waliokuwepo karibu na eneo la tukio wanasema ni karibia askari wote waliokuwepo kwenye hiyo barracks, na majengo ya chuo ambamo walikuwemo yote yamegeuka uwanja, bila kuwepo na hata ukuta mmoja uliosimama.

Kumbuka barracks hiyo ilikuwa na vikosi 10 vyenye majukumu tofauti. Wanaojua masuala ya kijeshi wanajua kuwa barracks huundwa na vikosi kadhaa vilivyopo eneo moja. Askari na silaha za vikosi vyote 10 zimeteketea.
 
Huyu jamaa anapitia magumu, hata salamu ya mtoto mdogo inabidi mtoto ashikiliwe

_-20-11-jpg.2467859
 
Putin ktk mwezi wa Dec amerusha mabomu mengi kwa Ukraine mengine yame hit target while mengine Ukraine waliyadungua...
Inawezekana hii ni comment kutoka kwa mtu wa darasa la pili...ni comment ya hovyo kabisa kwa kuanzia mwaka huu..
 
Hii vita bado sana, subirini come back ya mrusi muone
 
Wewe inaonekana huenda huna ukaribu na masuala ya kijeshi. Iliyopigwa ni barracks siyo kituo.

Ukraine inasema askari waliokufa ni zaidi ya 400. Waziri wa Urusi juzi alisema ni askari 63, leo anasema ni 89, bloggers wa Urusi wanasema serikali yao kusema waliokufa ni askari 89, ni uwongo.

Waliokufa ni zaidi ya 100. Mashuhuda waliokuwepo karibu na eneo la tukio wanasema ni karibia askari wote waliokuwepo kwenye hiyo barracks, na majengo ya chuo ambamo walikuwemo yote yamegeuka uwanja, bila kuwepo na hata ukuta mmoja uliosimama.

Kumbuka barracks hiyo ilikuwa na vikosi 10 vyenye majukumu tofauti. Wanaojua masuala ya kijeshi wanajua kuwa barracks huundwa na vikosi kadhaa vilivyopo eneo moja. Askari na silaha za vikosi vyote 10 zimeteketea.
Hizo HIMARS unaambiwa ni hatari na nusu, heri AK 47 unaweza ukaiponyoka lakini sio makombora ya HIMARS.
 
Wewe inaonekana huenda huna ukaribu na masuala ya kijeshi. Iliyopigwa ni barracks siyo kituo.

Ukraine inasema askari waliokufa ni zaidi ya 400. Waziri wa Urusi juzi alisema ni askari 63, leo anasema ni 89, bloggers wa Urusi wanasema serikali yao kusema waliokufa ni askari 89, ni uwongo.

Waliokufa ni zaidi ya 100. Mashuhuda waliokuwepo karibu na eneo la tukio wanasema ni karibia askari wote waliokuwepo kwenye hiyo barracks, na majengo ya chuo ambamo walikuwemo yote yamegeuka uwanja, bila kuwepo na hata ukuta mmoja uliosimama.

Kumbuka barracks hiyo ilikuwa na vikosi 10 vyenye majukumu tofauti. Wanaojua masuala ya kijeshi wanajua kuwa barracks huundwa na vikosi kadhaa vilivyopo eneo moja. Askari na silaha za vikosi vyote 10 zimeteketea.
Huyu ndo mchinjaji.
images-57.jpg
 
Back
Top Bottom