Nchi zenye Amani zaidi Africa

Wametumia kigezo gani kuiweka nchi kama Senegal, Liberia, Tunisia, Sierra Leone na kuiacha nchi iliyobarikiwa Amani kutokana na subira na uvumilivu wa watu wake Tanzania?
 
Kuna watu kipimo chao ni walioshindwa tu, anafurahi ana D kwa sababu wengine wana F anasahau kuna wengine wana A na B
Kabisa. Yaani huwa nashangaa sana nikisikia watu wanasema Tanzania ni kisiwa cha amani, kisha kipimo chao ni kwenye nchi zenye machafuko, huku nchi zisizo na vita ndio nyingi.
 
Wametumia kigezo gani kuiweka nchi kama Senegal, Liberia, Tunisia, Sierra Leone na kuiacha nchi iliyobarikiwa Amani kutokana na subira na uvumilivu wa watu wake Tanzania?
🚮
Kabisa. Yaani huwa nashangaa sana nikisikia watu wanasema Tanzania ni kisiwa cha amani, kisha kipimo chao ni kwenye nchi zenye machafuko, huku nchi zisizo na vita ndio nyingi.
😁😁😁😁 ccm hawana akili
 
Bongo Chali tena
 
Mhhh!

Sierra Leone, Malawi naona kama zipo kimagumashi...
 
Tanzania hakuna amani ila watu wametulia, wanastress, hofu na mashaka

Nchi ambayo watawala wanauza rasilimali za nchi kama mtu anavyouza mbuzi wake. Nchi ambayo waliostahili kuwa viongozi wamegeuka kuwa mafisadi. Nchi ambayo wananchi hawana haki ya kuwachagua viongozi wanaowataka. Nchi ambayo wauaji, watekaji na wapotezaji wa binadamu wenzao, badala ya kuwa gerezani, ndiyo wanapewa uongozi wa chama. Nchi ambayo wananchi wanaishi kwenye ufukara uliotopea lakini watawala wanaishi kwenye utajiri mkubwa kutokana na kuiba kodi za wananchi, nchi ambayo wananchi wanakamuliwa kodi na tozo kwa manyanyaso makubwa ili watawala wapate pesa ya kuchezea na kustarehe, itawezekana vipi kwenye nchi hiyo wananchi wawe na amani? Amani huanzia moyoni, bali hutulivu husimamiwa na gobore.

Tanzania ina utulivu lakini haina amani.
 
Kutokuwa na umeme ni kutokuwa na amani ni sawasawa mko vitani tu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ccm wako wapi kwenye List?
 
Wameisahau Seychelles... Ilitakiwa iwe Number 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…