Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia DRC mashariki ili ujue vizuri nini maana ya amani.Uoga sio amani. Watu huwa wanachanganya majoga na amani.
Kwahiyo kipimo Cha amani ni kwenye vita? Nenda Botwasa ukajue maana ya amani, sio huu ukondoo.Hamia DRC mashariki ili ujue vizuri nini maana ya amani.
Basi hamia BotswanaKwahiyo kipimo Cha amani ni kwenye vita? Nenda Botwasa ukajue maana ya amani, sio huu ukondoo.
Kwani Niko hapa kwenye nchi ya makondoo kwa hisani?Basi hamia Botswana
Kuna watu kipimo chao ni walioshindwa tu, anafurahi ana D kwa sababu wengine wana F anasahau kuna wengine wana A na BKwahiyo kipimo Cha amani ni kwenye vita? Nenda Botwasa ukajue maana ya amani, sio huu ukondoo.
Kabisa. Yaani huwa nashangaa sana nikisikia watu wanasema Tanzania ni kisiwa cha amani, kisha kipimo chao ni kwenye nchi zenye machafuko, huku nchi zisizo na vita ndio nyingi.Kuna watu kipimo chao ni walioshindwa tu, anafurahi ana D kwa sababu wengine wana F anasahau kuna wengine wana A na B
🚮Wametumia kigezo gani kuiweka nchi kama Senegal, Liberia, Tunisia, Sierra Leone na kuiacha nchi iliyobarikiwa Amani kutokana na subira na uvumilivu wa watu wake Tanzania?
😁😁😁😁 ccm hawana akiliKabisa. Yaani huwa nashangaa sana nikisikia watu wanasema Tanzania ni kisiwa cha amani, kisha kipimo chao ni kwenye nchi zenye machafuko, huku nchi zisizo na vita ndio nyingi.
Bongo Chali tenaKwa mujibu wa Africa fact zone hii hapa ndio Orodha ya nchi zenye Amani ya moyo
Africa's Most Peaceful Countries
1. Mauritius
2. Botswana
3. Sierra Leone
4. Ghana
5. Senegal
6. Madagascar
7. Namibia
8. The Gambia
9. Zambia
10. Liberia
11. Malawi
12. Tunisia
13. Equatorial Guinea
14. Angola
15. Morocco
Source: 2023 Global Peace Index.
Kwa mujibu wa Africa fact zone hii hapa ndio Orodha ya nchi zenye Amani ya moyo
Africa's Most Peaceful Countries
1. Mauritius
2. Botswana
3. Sierra Leone
4. Ghana
5. Senegal
6. Madagascar
7. Namibia
8. The Gambia
9. Zambia
10. Liberia
11. Malawi
12. Tunisia
13. Equatorial Guinea
14. Angola
15. Morocco
Source: 2023 Global Peace Index.
Ulizaliwa huko uliko kwa sasa? Kama ulizaliwa TZ wewe ni mtanzania maisha yako yote.Kwani Niko hapa kwenye nchi ya makondoo kwa hisani?
LabdaMhhh!
Sierra Leone, Malawi naona kama zipo kimagumashi...
Tanzania hakuna amani ila watu wametulia, wanastress, hofu na mashaka
Kutokuwa na umeme ni kutokuwa na amani ni sawasawa mko vitani tuKwa mujibu wa Africa fact zone hii hapa ndio Orodha ya nchi zenye Amani ya moyo
Africa's Most Peaceful Countries
1. Mauritius
2. Botswana
3. Sierra Leone
4. Ghana
5. Senegal
6. Madagascar
7. Namibia
8. The Gambia
9. Zambia
10. Liberia
11. Malawi
12. Tunisia
13. Equatorial Guinea
14. Angola
15. Morocco
Source: 2023 Global Peace Index.
Ccm wako wapi kwenye List?Kwa mujibu wa Africa fact zone hii hapa ndio Orodha ya nchi zenye Amani ya moyo
Africa's Most Peaceful Countries
1. Mauritius
2. Botswana
3. Sierra Leone
4. Ghana
5. Senegal
6. Madagascar
7. Namibia
8. The Gambia
9. Zambia
10. Liberia
11. Malawi
12. Tunisia
13. Equatorial Guinea
14. Angola
15. Morocco
Source: 2023 Global Peace Index.
Na DRC piaNchi zenye Amani ni Tanzania na Rwanda Zambia Malawi.
Kwa mujibu wa Africa fact zone hii hapa ndio Orodha ya nchi zenye Amani ya moyo
Africa's Most Peaceful Countries
1. Mauritius
2. Botswana
3. Sierra Leone
4. Ghana
5. Senegal
6. Madagascar
7. Namibia
8. The Gambia
9. Zambia
10. Liberia
11. Malawi
12. Tunisia
13. Equatorial Guinea
14. Angola
15. Morocco
Source: 2023 Global Peace Index.