Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

Umeongea ukweli mkuu
 
👍👍👍🍷
 
Kitendo cha Mimi kuwaambia tu hapa kwamba tunaibiwa tayari Kuna ujinga nimeuona mahali. Bahati mbaya napata upinzani kutoka kwa wajinga lakini taratibu tutakuja kupata akili. Samahani ujinga siyo tusi.
Unaibiwa na Unajua Ya Kuwa Unaibiwa alafu unakuja kutuambia huku,,haituhusu hiyo wewe cha kufanya Pambana na hao wezi kwa kuwa wewe ndio unashuhudia huo Uwizi.
 
Ukisikia nchi fulani ni maskini ujue wanamaanisha raia wengi wa nchi husika wana IQ below average
 
Wabongo wengine wanadhani kuwa na akili ni kuikosoa CCM
 
Hii dhahabu inayochukuliwa na barrick au almas inayobebwa na Williamson ni ya nani? Mikopo unayopewa na IMF na World Bank unadhani hizo pesa anatoa nani? Hayo marejesho analipwa nani? Fungua bichwa hilo kenge wewe
Mzazi wako alikosea wapi hadi hayo yawatokee?
 
Siku mkiweza kutengeneza bidhaa watakayo inunua mta itwa nchi iliyo endelea. Sasa mnauza madini hadi kwa waarabu mtaitwaje nchi iliyo endelea?
 
Sio ulaya tu hata waarabu wachina warusi wote ni wezi tu. Hakuna mtu wa kukusaidia ikiwa wewe umelala tuache kulia lia
 
Sio ulaya tu hata waarabu wachina warusi wote ni wezi tu. Hakuna mtu wa kukusaidia ikiwa wewe umelala tuache kulia lia
Urusi ana makampuni gani ya kigeni aliyowekeza hapa Tanzania?
 
Waarabu wao na viongozi wao wamewezaje kufaidika na rasilimali zao?
Je Waafrika tatizo letu ni kipi?
S mnawasema vibaya hapa waarabu hawajasoma hawana akoli nchi zao maskini hazina maendeleo leo hapa mnawapa sifa how they well managed her resources
 
Umasikini wa akili ndiyo umasikini namba moja duniani, Afrika kuna umasikini mkubwa wa akili na unaanzia kwa viongozi.
Marais wanaojielewa Afrika sidhani kama wafika watatu na impact za utajiri wao wa akili zinaakisi ukuaji wa uchumi wa nchi zao, in general Afrika kutoka katika umasikini ni sawa na ndoto.
Natural resources peke yake haziwezi kuitoa Afrika katika umasikini, just imagine almasi za Mwadui watu wa nje ya Afrika wakisema hawazihitaji tena je mtazifanyia nyinyi?
 
Wabongo wengine wanadhani kuwa na akili ni kuikosoa CCM
Umasikini wa akili ni ku-support mfumo wa utawala ambao unashindwa kuitoa nchi katika umasikini wa uchumi, kwa sasa mchawi ni utawala kwa ujumla wake kuanzia executives mpala viongozi wa kiserikali na chama chao. Painful truth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…