Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

Ni economic warfare tu hiyo, mataifa yaliyoendelea kama hayaruhusu maskini kujitegemea maana chukulia mfano Afrika ijitegemee Kwa Kila kitu Hali ya maisha ulaya na america pamoja na china utashuka vibaya mno na upepo utahamia kwetu na influx itakuwa kubwa afrika, na huwa wanakwambia waafrika wapumbavu sana yaani wanajitoa kwenye lawama na kutengeneza mazingira ya wao hawahusiki na chochote kuhusu umaskini wetu...ni jukumu la serikali za afrika kutambua na kuweka mipango kazi namna wanaweza kutuvusha, sema Sasa bahati mbaya ni kwamba hatupo hata kufikiri kuhusu kuwa na vitu vyetu zaidi ya kutokujiamini, ubinafsi, unafiki, kujikweza ndiyo tabia zetu.
Umeongea ukweli mkuu
 
👍👍👍🍷
 
Kitendo cha Mimi kuwaambia tu hapa kwamba tunaibiwa tayari Kuna ujinga nimeuona mahali. Bahati mbaya napata upinzani kutoka kwa wajinga lakini taratibu tutakuja kupata akili. Samahani ujinga siyo tusi.
Unaibiwa na Unajua Ya Kuwa Unaibiwa alafu unakuja kutuambia huku,,haituhusu hiyo wewe cha kufanya Pambana na hao wezi kwa kuwa wewe ndio unashuhudia huo Uwizi.
 
Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k

Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?
Ukisikia nchi fulani ni maskini ujue wanamaanisha raia wengi wa nchi husika wana IQ below average
 
Sie ni maskini Sana, tuna malighafi, dhahabu, chuma,mafuta, nk, Ila kuvifanya viwe pesa kutusaidia kutengeneza ajira, elimu Bora, Arya, hatuwezi, na kikubwa tunaviongozi waliooza u bongo, wao wanawaza kuiba tu, wakimiriki ma V8,na watoto wao wakajenga ma hotel, manyumba, nk, wanaona nchi imeendelea,
Uchumi wetudhaifu, hatuna viwanda, hatutengenezi magari, , simu, ndege, me like, engine, tv, hata sukari ya kutosha hatuwezi,
Mchina kufika hapo alipo, super power, alifanya hv, anakaribisha kampuni ya nje kama Ford, au BMW, anaweka Sera nzuri ili hayo makampuni yazalishe ndani ya china, anaingia ubia nayo,anaiba tekinolojia, akiipata tu, ama anataifisha hivyo viwanda, au anaweka mashariti magumu, ndani ya muda anaanza kutengeneza mwenyewe hizo bidhaa,ndivyo alivyoweza kutengeneza, Airbus, train za mwendo kasi, simu, nk
Sie hata kuiga jinsi mchina anavyotengeneza njia za mwendo kasi hatuwezi, tu najua, kuiga kutikisa makalio huko TikTok, na insta,
Wabongo wengine wanadhani kuwa na akili ni kuikosoa CCM
 
Hii dhahabu inayochukuliwa na barrick au almas inayobebwa na Williamson ni ya nani? Mikopo unayopewa na IMF na World Bank unadhani hizo pesa anatoa nani? Hayo marejesho analipwa nani? Fungua bichwa hilo kenge wewe
Mzazi wako alikosea wapi hadi hayo yawatokee?
 
Siku mkiweza kutengeneza bidhaa watakayo inunua mta itwa nchi iliyo endelea. Sasa mnauza madini hadi kwa waarabu mtaitwaje nchi iliyo endelea?
 
Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k

Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?
Sio ulaya tu hata waarabu wachina warusi wote ni wezi tu. Hakuna mtu wa kukusaidia ikiwa wewe umelala tuache kulia lia
 
Waarabu wao na viongozi wao wamewezaje kufaidika na rasilimali zao?
Je Waafrika tatizo letu ni kipi?
S mnawasema vibaya hapa waarabu hawajasoma hawana akoli nchi zao maskini hazina maendeleo leo hapa mnawapa sifa how they well managed her resources
 
Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k

Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?
Umasikini wa akili ndiyo umasikini namba moja duniani, Afrika kuna umasikini mkubwa wa akili na unaanzia kwa viongozi.
Marais wanaojielewa Afrika sidhani kama wafika watatu na impact za utajiri wao wa akili zinaakisi ukuaji wa uchumi wa nchi zao, in general Afrika kutoka katika umasikini ni sawa na ndoto.
Natural resources peke yake haziwezi kuitoa Afrika katika umasikini, just imagine almasi za Mwadui watu wa nje ya Afrika wakisema hawazihitaji tena je mtazifanyia nyinyi?
 
Wabongo wengine wanadhani kuwa na akili ni kuikosoa CCM
Umasikini wa akili ni ku-support mfumo wa utawala ambao unashindwa kuitoa nchi katika umasikini wa uchumi, kwa sasa mchawi ni utawala kwa ujumla wake kuanzia executives mpala viongozi wa kiserikali na chama chao. Painful truth.
 
Back
Top Bottom