Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k

Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?
Kwasasa Asia ndio wanakomba Mali zetu na kitovu Cha kiza Mali ziliibwa Afrika ni Dubai ila watu weusi bado akili zenu zipo 1900s
 
Ni rasilimali ipi yako, ya mzazi wako, au ya ukoo wenu imechukuliwa na nchi ya Ulaya? Acheni kulishwa pumba ninyi. Changamoto #1 ambayo Afrika inayo ni udumavu wa akili!
Hii dhahabu inayochukuliwa na barrick au almas inayobebwa na Williamson ni ya nani? Mikopo unayopewa na IMF na World Bank unadhani hizo pesa anatoa nani? Hayo marejesho analipwa nani? Fungua bichwa hilo kenge wewe
 
Kwasasa Asia ndio wanakomba Mali zetu na kitovu Cha kiza Mali ziliibwa Afrika ni Dubai ila watu weusi bado akili zenu zipo 1900s
Makampuni ya wamarekani ndio yanaongoza kwenye uwekezaji wa madini afrika Wala siyo Asia
 
Wao hawahusiki ni upumbav wenu , lipo jinga moja lilitaka wapa watu kesi ya uhaini kisa wanahoji na kutaka marekebisho ya mkataba wa bandari ambao haukuanisha muda na ulitutaka kuwa chini ya mwekezaj Kwa all strategic zones za kiuchumi , kwamba nje ya bandari , tukihitaj mwekezaj kwingine lzm tuwape offer wao kwanza
 
Yote hayo yanawezeshwa na viongoz wenu , wanakula Kodi zetu lzm waw watumwa wa wageni
Hii dhahabu inayochukuliwa na barrick au almas inayobebwa na Williamson ni ya nani? Mikopo unayopewa na IMF na World Bank unadhani hizo pesa anatoa nani? Hayo marejesho analipwa nani? Fungua bichwa hilo kenge wewe
 
Washindwe chukua rasilimali wakati wanawachukua Hadi waafrika Wenyewe tangu kitambo Hadi Sasa
Kasome How Europe underdevelop Africa by Walter Rodney. Writer ni mjamaica aliwahi pia kufundisha pale mlimani miaka ya mwanzoni mwa uhuru.
 
Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k

Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja ya bara masikini zaidi duniani. Sasa najiuliza hivi waafrika tunajitambua?
Labda wanamaanisha umaskini wa akili?
 
Hizo takwim za mwaka gan ? Kwasasa China anataka over krb bara zima na China kaweka mikataba mibovu sn
Wala usipate tabu anzia shinyanga , geita mpaka nyamongo angalia makampuni yanayochimba madini huko yanayokea wapi Wala huhitaji kutumia nguvu mkuu. Rudi mtwara kwenye gesi
 
Kasome How Europe underdevelop Africa by Walter Rodney. Writer ni mjamaica aliwahi pia kufundisha pale mlimani miaka ya mwanzoni mwa uhuru.
Tupambane na Hali Zetu tu,,wameshatutangulia mbali mnoo hakuna haja ya kusoma vitabu
 
Wao wana rasilimali watu ambao ndio utajiri mkubwa duniani. Hata hizo rasilimali wao ndio wametuambia hizo ni nini na zinatumikaje,sisi hatukujua hata hizo raslimali ni nini na zinafanya kazi gani
 
Sie ni maskini Sana, tuna malighafi, dhahabu, chuma,mafuta, nk, Ila kuvifanya viwe pesa kutusaidia kutengeneza ajira, elimu Bora, Arya, hatuwezi, na kikubwa tunaviongozi waliooza u bongo, wao wanawaza kuiba tu, wakimiriki ma V8,na watoto wao wakajenga ma hotel, manyumba, nk, wanaona nchi imeendelea,
Uchumi wetudhaifu, hatuna viwanda, hatutengenezi magari, , simu, ndege, me like, engine, tv, hata sukari ya kutosha hatuwezi,
Mchina kufika hapo alipo, super power, alifanya hv, anakaribisha kampuni ya nje kama Ford, au BMW, anaweka Sera nzuri ili hayo makampuni yazalishe ndani ya china, anaingia ubia nayo,anaiba tekinolojia, akiipata tu, ama anataifisha hivyo viwanda, au anaweka mashariti magumu, ndani ya muda anaanza kutengeneza mwenyewe hizo bidhaa,ndivyo alivyoweza kutengeneza, Airbus, train za mwendo kasi, simu, nk
Sie hata kuiga jinsi mchina anavyotengeneza njia za mwendo kasi hatuwezi, tu najua, kuiga kutikisa makalio huko TikTok, na insta,
Sasa kama hatuwezi kuvitumia tulivyo navyo kwanini tunavigawa kwa nchi zilizoendelea kwa fedha kidogo huku tukipewa masharti kuhusu mikopo wanayotukupesha na riba juu?
 
Wao wana rasilimali watu ambao ndio utajiri mkubwa duniani. Hata hizo rasilimali wao ndio wametuambia hizo ni nini na zinatumikaje,sisi hatukujua hata hizo raslimali ni nini na zinafanya kazi gani
Kwahiyo tuwaachie waendelee kuchukua huku wakiendelea kutuita sisi ni masikini sana?
 
Kwani Wewe uliesoma vitabu Ujinga umeuona??na umefanya nini na wengine waweze ona huo Ujinga na kuachana nao??
Kitendo cha Mimi kuwaambia tu hapa kwamba tunaibiwa tayari Kuna ujinga nimeuona mahali. Bahati mbaya napata upinzani kutoka kwa wajinga lakini taratibu tutakuja kupata akili. Samahani ujinga siyo tusi.
 
Back
Top Bottom