Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?
Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni kosa la jinai. Kwa kufanya hivyo, nchi hii imeharamisha ukahaba. Hivyo Indonesia ikiukataa ushoga inaniingia akilini.
Mfano hapa kwetu Tanzania masingo mama yamejaa kibao. Na kwa kutambua uwepo wao na hatua dhidi yao hazichukuliwi maana yake ni kwamba ukahaba na ufuska vimehalalishwa ktk nchi yetu.
Hawa masingo mama pamoja na wapenzi wao walipaswa wakamatwe na wafungwe ili kuukomesha ukahaba. Sasa kwann tunaona ukahaba na ufsika ni sawa tu kuwepo na kuenea lkn ushoga inakuwa nongwa??
Naona kama kuna undumila kuwili ktk jambo hili, kwasbb zote ni dhambi.
N.B. Naunga mkono kauli ya papa kuwa ushoga siyo kosa wala uhalifu, bali ni dhambi kama dhambi nyingine .