Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 454
- 1,011
kuongea hajui ?Huyu jamaa hata kuongea hajui...
nini hapo hajaongea vizuri ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuongea hajui ?Huyu jamaa hata kuongea hajui...
Samia hatathubutu kumtoa kwa sababu ya aibu. Alionywa tangu day one akadharau hivyo itabidi tu ajikaze kisabuni. Sana sana atakuwa anadhibitiwa kwa siri.Makonda akimaliza mwezi hapo Arusha akatoe sadaka
HakikaMaturity at best 🙏🙏
Palipo Wazee hakuharibiki kitu
🥂Hakika
Itakuwa umenielewa vibaya.Utakuwa umelewa maana siamini na ukongwe wako humu JF unaweza kuniita mimi hilo jina!
Meseji nzuri mnooo.Umoja ukianzia kwenye chama basi hata uraiani watu watakua na umojaNiwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.
akati alipokutana na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM mkoani Katavi jana, Jumamosi Aprili 13. 2024.
Jambo TV
Nadhani hili ni Dongo la Bwana yule aliye sema atawataja watu wanaomsema Rais vibayaNiwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.
Samia anavutia kwa Makonda, Nchimbi anatupilia mbali, kwa vigezo vya ccm Nchimbi hatadumu na atatifuata na Mama kabla ya 2025.Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.
Huwezi kuwa wewe una vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini. Binadamu ana haki ya kufikiri, anaweza akayona ya kwako mazuri 100 akayongelea na akayona mabaya ya kwako mawili akayaongelea. Sasa wewe utasikia yale mawili yale 100 hutasikia. Hivi huyu kakkukosea nini kama kakusifia mara moja kakusema vibaya mara mbili? Kuna shida hapo? Hamna shida yoyote n ani haki yake kufikiri siyo? Hajatumi aubongo wako wewe kufikiri katumia ubongo wake, hajatumia nguvu yako yoyote kufikiri.
Kwahiyo niseme, viongozi wa kuchaguliwa katika chama chetu tunaomba wawe wanyenyekevu, na wasiwagawanye watu. Tutawapima viongozi wetu kwa jinsi wanavyounganisha watu na siyo wanavyowagawanya. Maeneo ambayo yamejaa mipasuko ni matokeo ya kuwa na uongozi unaotamani kugawanya watu
Dkt. Nchimbi amezungumza hayo wakati alipokutana na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM mkoani Katavi jana, Jumamosi Aprili 13. 2024.
Jambo TV
Mimi sio ccm ila Nchimbi huwa namuelewa , ngoja siku moja nitamtembelea kwake kumsalimiaNiwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.
Jambo TV
Haya ndiyo maneno yanayopaswa kutoka kwa kiongozi. Siyo kila kuhubiri uhasama kwa kila mtu unaehisi anakwenda kinyume na unachotaka wewe. Kukosoana ni jambo la kawaida ktk siasa na si uhaduiNiwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.
Jambo TV
Hakuna lolote yani wanataka wamtukane Rais na wamsengenye wanyamaziwe!Haya ndiyo maneno yanayopaswa kutoka kwa kiongozi. Siyo kila kuhubiri uhasama kwa kila mtu unaehisi anakwenda kinyume na unachotaka wewe. Kukosoana ni jambo la kawaida ktk siasa na si uhadui
Watalii kawakuta wanapita arusha, hajawaleta yeyeMwanza tunamhitaji, tunataka watalii wapitie mwanza tuachane na arusha
Naona saizi kazi ya ujasiriasiasa imekushinda na umeamua kuwa mganga wa kienyeji ,mchawi na mpiga Ramli.
Haswaaa huko ARUSHA "JUU' kajamaa kana KISIRANI hakoooo!Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.
Huwezi kuwa wewe una vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini. Binadamu ana haki ya kufikiri, anaweza akayona ya kwako mazuri 100 akayongelea na akayona mabaya ya kwako mawili akayaongelea. Sasa wewe utasikia yale mawili yale 100 hutasikia. Hivi huyu kakkukosea nini kama kakusifia mara moja kakusema vibaya mara mbili? Kuna shida hapo? Hamna shida yoyote n ani haki yake kufikiri siyo? Hajatumi aubongo wako wewe kufikiri katumia ubongo wake, hajatumia nguvu yako yoyote kufikiri.
Kwahiyo niseme, viongozi wa kuchaguliwa katika chama chetu tunaomba wawe wanyenyekevu, na wasiwagawanye watu. Tutawapima viongozi wetu kwa jinsi wanavyounganisha watu na siyo wanavyowagawanya. Maeneo ambayo yamejaa mipasuko ni matokeo ya kuwa na uongozi unaotamani kugawanya watu
Dkt. Nchimbi amezungumza hayo wakati alipokutana na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM mkoani Katavi jana, Jumamosi Aprili 13. 2024.
Jambo TV
Hivi mtaacha MAJUNGU LINI????Hakika Una macho , Nchimbi kwenye uongozi hamna kitu kabisa yaani !
Ni katibu Mkuu Msomi anaendesha Chama katika weledi wa hali ya juu.Chongoro alikua vizuri kuliko huyu Nchimbi...
Huyu jamaa hata kuongea hajui...
Nina wasiwasi kama ataweza kumsaidia raisi...
Watu aina ya Nchimbi hua vizuri kwenye mikakati.