Nchimbi: Kiongozi wa kweli habagui anaowangoza. Huwezi kuwa na vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini

Meseji nzuri mnooo.Umoja ukianzia kwenye chama basi hata uraiani watu watakua na umoja
 
Katibu Mkuu wetu anapingana na toto la mama Makonda; limesema kuna watu wanamtukana mama yake tena mawaziri kabisaa.

Nil lazima ndani ya CCM tuendelee kujipeleleza nani yuko upande upi na kwa maslahi yapi..hii ni muhimi sana maana tunakwenda kwenye chaguzi za kitaifa.

Tukikujua unatusatiki tunakukaanga.

Katibu mkuu wetu hebu tuache kwanza.
 
Samia anavutia kwa Makonda, Nchimbi anatupilia mbali, kwa vigezo vya ccm Nchimbi hatadumu na atatifuata na Mama kabla ya 2025.
 
Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.


Jambo TV
Mimi sio ccm ila Nchimbi huwa namuelewa , ngoja siku moja nitamtembelea kwake kumsalimia
 
Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.


Jambo TV
Haya ndiyo maneno yanayopaswa kutoka kwa kiongozi. Siyo kila kuhubiri uhasama kwa kila mtu unaehisi anakwenda kinyume na unachotaka wewe. Kukosoana ni jambo la kawaida ktk siasa na si uhadui
 
Haya ndiyo maneno yanayopaswa kutoka kwa kiongozi. Siyo kila kuhubiri uhasama kwa kila mtu unaehisi anakwenda kinyume na unachotaka wewe. Kukosoana ni jambo la kawaida ktk siasa na si uhadui
Hakuna lolote yani wanataka wamtukane Rais na wamsengenye wanyamaziwe!
 
Hawa wakina Nchimbi hawatakiwi kupigana, na Makonda. Wanatakiwa waipiganie CCM. Sikutegemea Nchimbi nae, ni bofulo tu. Hawezi kumsaidia mama huyu.
Naona saizi kazi ya ujasiriasiasa imekushinda na umeamua kuwa mganga wa kienyeji ,mchawi na mpiga Ramli.
 
Haswaaa huko ARUSHA "JUU' kajamaa kana KISIRANI hakoooo!
 
Chongoro alikua vizuri kuliko huyu Nchimbi...

Huyu jamaa hata kuongea hajui...

Nina wasiwasi kama ataweza kumsaidia raisi...

Watu aina ya Nchimbi hua vizuri kwenye mikakati.
Ni katibu Mkuu Msomi anaendesha Chama katika weledi wa hali ya juu.
Sio Kila mara hoja za vituko na majungumajungu na kusimanga wengine ziwe ndio hoja hodari..
Msingi wa Imani yeyote ni kuwa na watu wenye akili timamu na wenye uwezo wa kufanya maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…