Nchimbi: Mimi hata mambo ya kugombana kivyama vyama siyapendi naona ni ujinga tu

Sio wote ni wadini broo. Ingekuwa hivyo Jiwe asingejaribu kumuua Mkatoliki mwenzie TAL
Nyie ni wadini sana! Mi binafsi nimeshtuka kufuata mkumbo na chuki za kipuuzi! Watu kumbe mna ajenda zenu! Yaani nyie mpo radhi Nchi iongozwe hata na mamluki kutoka nje kisa tu awe mkristo mwenzenu? Hapana kabisa
 
Wewe ndo mdini, unaunga mkono mwizi, fisadi, mtekaji, muuaji... kisa tu ni wa dini yako!

Angalau Wagalatia walimkosoa sana Jiwe bila kujali kuwa ni wa dini yao.

Nikukumbushe kidogo kama umesahau juu ya madhila waliyopitia awamu ya Jiwe:

Askofu Gwajima aliburuzwa ndani akapimwa mkojo, askofu Kakobe aliambiwa sio Mtanzania, askofu Severin Niwemugizi, Mkatoliki kama jiwe aliambiwa sio Mtanzania, akatakiwa kuwasilisha vyeti vya kuzaliwa vya babu yake, bibi yake, wazazi, nk
 
Wa Tanzania ni wasaulifu sana
 
Huyu hatekwa bali 'wanamkolimba'. Mzee wa watu alisema CCM imepoteza mwelekeo huku akiwa bado mwana CCM wakamwekea sumu kwenye mike😭😭😭
Nasikia eti mchonga alihusika , CCM ni takataka kabisa 🚮
 
Kama Samia kaua maelfu ya watu halafu kawafukia hakuna linaloshindikana kwa CCM. Sasa kila siku wanahamisha maiti zilizoharibika.😭😭
 
Back
Top Bottom