Cheo cha vice president hakina nguvu yoyote yeye kama yeye hawezi kubadilisha kitu ndio maana ana usaka uraisi kuanza kumwambia sijui amkemee Mama Samia ni kumuoneaVPš³š³ otherwise you have backdoor information
Cheo cha vice president hakina nguvu yoyote yeye kama yeye hawezi kubadilisha kitu ndio maana ana usaka uraisi kuanza kumwambia sijui amkemee Mama Samia ni kumuoneaVPš³š³ otherwise you have backdoor information
Sasa Hilo swali lako linahusiana vipi na ulichokiongea kuhusu Nchimbi?Aliyependekeza Nchimbi awe makamu wa Rais Nani?
Ni kweli. Atafuata wako chawa mwenzie wote muwe maraisUnajua Kwanza malengo ya Nchimbi? Nchimbi anataka kuwa Raisi wa nchi so hawezi kufuata ushauri wako
Mkuu 'Hziyech22' naomba sana niwe mdogo sana kwako kuhusu hili jambo la huyu Nchimbi; kwa sababu kama ulivyosema hapa simjui Nchimbi kwa maswala mengi muhimu zaidi ya hayo uliyoyataja wewe.Ungekuwa unamjua vizuri Nchimbi usingeongea hivyo, wewe umewahi kusikia Nchimbi ana kashfa za ufisadi? au anatajwa kwenye Mambo maovu?
mpk jina nakufahamu na unapoishi pia, ila ni makosa humu kumtaja mtu identity yake.Sasa kama ujui dini yangu kwanini unasema namchukia Samia kwasababu ya dini?
Nakupa fursa ya wazi kabisa unisaidie kumjuwa.Wewe umjui vizuri nchimbi
Dah!Yeye ana mamlaka gani kwenye hii serikali katili? Maana umeongea as if kama cheo chake kina nguvu
Mkuu, nionyeshe Nchimbi unayemjuwa wewe; mimi sioni dalili zozote za matumaini kwa taifa hili toka kwake tokea nimtambue, akiwa UVCCM. Ni muda kitambo sana.Ungekuwa unamjua vizuri Nchimbi usingeongea hivyo, wewe umewahi kusikia Nchimbi ana kashfa za ufisadi? au anatajwa kwenye Mambo maovu?
Nchimbi ni kiongozi mwenye busara hata ukisikiliza hotuba zake unaona Hilo ni kiongozi mwenye ambition ya kutaka kuwa Raisi akiwa ni low keyMkuu 'Hziyech22' naomba sana niwe mdogo sana kwako kuhusu hili jambo la huyu Nchimbi; kwa sababu kama ulivyosema hapa simjui Nchimbi kwa maswala mengi muhimu zaidi ya hayo uliyoyataja wewe.
Hili naomba kwa moyo dhati kabisa nikiri mbele yako, kwamba sijawahi kumsikia akitajwa tajwa katika hayo uliyoyasema wewe.
Sasa basi, baada ya kukiri huko, mimi namtazama mTanzania yeyote yeyote ambaye anawania kuwa kiongozi wa nchi hii kwa darubini, siyo pana tu, bali inayoangazia maswala muhimu ya haiba yake katika uongozi wa waTanzania.,
Sijawahi hata siku moja kuona ile ari ya uongozi wa taifa hili toka kwa huyu Nchimbi.
Kama unayo mifano yoyote inayokuonyesha kuwa Nchimbi ni aina ya kiongozi ambaye anasukumwa na kujituma kuwaongoza waTanzania kwa manufaa ya taifa hili kwa ujumla, na siyo maswala ya kutoshiriki tu katika hayo unayomsifia nayo, nitashukuru sana ukinionyesha mifano hiyo.
Kama nilivyosema toka mwanzo, nipo tayari kabisa kusikiliza toka kwako au kwa wengine wowote wanaooona alama za uongozi wa kutumikia taifa hili kwa kujitoa toka kwa Nchimbi. Nipo tayari kabisa kusikiliza, na hata pengine kushawishika.
La sivyo, kama ilivyo sasa hivi, namwona Nchimbi kama 'opportunist' tu kama wengine wote waliojazana huko ndani ya hicho chama cha CCM.
Hivi vimatamko mjinga anavyotoa sasa hivi vinaongeza tu kuwa na mashaka makubwa kuhusu dhamira yake ya uongozi.
Hajajipambanua na chochote kuwa yeye ni tofauti na hao wote nyuma ya Samia Suluhu Hassan.
Nimalize kwa kusema, jina lako ni geni kwangu. Ni jina gumu, nimejaribu kulipa maana sikuipata. Lakini hili siyo la maana; la maana ni Nchimbi, na uongozi wa taifa letu.
Karibu sana. unifumbue macho. kuhusu huyu Nchimbi.
Taja napokaa ili nithibitishe unanifahamumpk jina nakufahamu na unapoishi pia, ila ni makosa humu kumtaja mtu identity yake.
Anamuona mjinga ndiyo lakini keki tamu hawezi kuitema, kila mwenye akili timamu anafahamu kuwa Samia ni mjinga hilo halina ubishi. I insist ni kila mwenye akili timamu tu, wale wajinga wenzake hawawezi kubaini kuwa Samia ni mjinga kwa kuwa nao ni wajinga wenzake.Mambo yote ambayo wapinzani na watanzania wanalalamikia serikali naona Nchimbi naye anasema ni mambo ya kijinga yanayofanywa na serikali yake na Mama wetu fake. Sasa je nchimbi ni mnafiki tu au kweli kuna tofauti? Mbona basi asijitoe kama ujinga ausemao baso upo?
Huyu ndie mtu pekee atakayemsaidia kweli Rais Samia kwa kumweleza ukweli, calling a spade a spadeMambo yote ambayo wapinzani na watanzania wanalalamikia serikali naona Nchimbi naye anasema ni mambo ya kijinga yanayofanywa na serikali yake na Mama wetu fake. Sasa je nchimbi ni mnafiki tu au kweli kuna tofauti? Mbona basi asijitoe kama ujinga ausemao baso upo?