CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Mimi huo anaoita ujinga mimi nauita upumbavu.
Haiwezekani Mwigulu pamoja na kuweka tundevu kama Hitler unamwita chawaHuyu ndie mtu pekee atakayemsaidia kweli Rais Samia kwa kumweleza ukweli, calling a spade a spade
Wengine wote ni machawa tuu.
P
Mambo yote ambayo wapinzani na watanzania wanalalamikia serikali naona Nchimbi naye anasema ni mambo ya kijinga yanayofanywa na serikali yake na Mama wetu fake. Sasa je nchimbi ni mnafiki tu au kweli kuna tofauti? Mbona basi asijitoe kama ujinga ausemao baso upo?
Hilo ni la kweli umelisema mkuu.Asingekuwa vice president,Bi ushungi angemla kichwa kama speaker na waziri wa mambo ya ndani, alichosema ni kitu kizuri sana
Mambo yote ambayo wapinzani na watanzania wanalalamikia serikali naona Nchimbi naye anasema ni mambo ya kijinga yanayofanywa na serikali yake na Mama wetu fake. Sasa je nchimbi ni mnafiki tu au kweli kuna tofauti? Mbona basi asijitoe kama ujinga ausemao baso upo?
"....ana 'ambition' ya kuwa Rais, akiwa ni low key"?Nchimbi ni kiongozi mwenye busara hata ukisikiliza hotuba zake unaona Hilo ni kiongozi mwenye ambition ya kutaka kuwa Raisi akiwa ni low key
Magufuli hajawai kufanya jaribio ilo waulizeni team mtandaoSio wote ni wadini broo. Ingekuwa hivyo TAL asingekuwa mkosoaji mkubwa wa Mkatoliki mwenzie Jiwe, na Jiwe asingefanya jaribio la kumuua TAL
Jk ndo alipendekeza nchimbi kua makamu nchimbi ni kijana wa Jk watu hawajui iloAliyependekeza Nchimbi awe makamu wa Rais Nani?
Hapo sasa. Kwamba Nchimbi anaweza kwenda kinyume na BOSS wake?Jk ndo alipendekeza nchimbi kua makamu nchimbi ni kijana wa Jk watu hawajui ilo
Mkuu kuna mambo kuyatetea ni kazi ngumu sana. Yeye kama hakuhusika je,alichukua hatua gani kuwabaini wahusika?Magufuli hajawai kufanya jaribio ilo waulizeni team mtandao
Lissu amekuja kujua mwishoni muulizeni makondaMkuu kuna mambo kuyatetea ni kazi ngumu sana. Yeye kama hakuhusika je,alichukua hatua gani kuwabaini wahusika?
Lile jambo halikuwa dogo Mkuu.
Mwishoni mwa nini?.Lissu amekuja kujua mwishoni muulizeni makonda
Kuwa na ambition za urais ndani ya CCM Kuna namna inabidi uwe na ndio maana unamuona wakati mwingine baridi mwingine wa moto kwasababu kwenye maamuzi ya kuteua mgombea uraisi wa CCM huwa ni wamakundi ukionekana tishio uwa lazima figisu ufanyiwe hivi uliwahi kutegemea Hayati Magufuli angeenda against na CCM kwenye Mambo mengi?Je namna alivyoongoza nchi ndio hivyo uliwahi kutegemea itakuwa hivyo? Ndio maana ya kuwa low key"....ana 'ambition' ya kuwa Rais, akiwa ni low key"?
Hii ndiyo 'strategy' yake? Sasa hii mbona inamwondolea hata hizo sifa za mwanzo ulizompatia, ambazo na mimi nilizikubali!
Hawezi kuwa chui aliyejivisha koti la kondoo?
Mkuu, Hziyech22, nilitegemea utetezi wa kina zaidi ya huu kwa mtu anayewania kuwa kiongozi wa taifa kama hili.
Nchimbi kwa muda wote aliotumikia huko CCM na ngazi mbalimbali, hajaonyesha kuwa na sifa za kuongoza taifa nje ya mfumo uliopo wa CCM.
Basi sawa mkuu Hizyech22; kwa ufafanuzi wako huu ambao unaweka wazi kabisa tunavyotofautiana kati yangu na wewe.Kuwa na ambition za urais ndani ya CCM Kuna namna inabidi uwe na ndio maana unamuona wakati mwingine baridi mwingine wa moto kwasababu kwenye maamuzi ya kuteua mgombea uraisi wa CCM huwa ni wamakundi ukionekana tishio uwa lazima figisu ufanyiwe hivi uliwahi kutegemea Hayati Magufuli angeenda against na CCM kwenye Mambo mengi?Je namna alivyoongoza nchi ndio hivyo uliwahi kutegemea itakuwa hivyo? Ndio maana ya kuwa low key
Kumbe kuna mada humu Jukwaani mkuu 'Hziyech22' inayothibitisha unayoyasema wewe..Kuwa na ambition za urais ndani ya CCM Kuna namna inabidi uwe na ndio maana unamuona wakati mwingine baridi mwingine wa moto kwasababu kwenye maamuzi ya kuteua mgombea uraisi wa CCM huwa ni wamakundi ukionekana tishio uwa lazima figisu ufanyiwe hivi uliwahi kutegemea Hayati Magufuli angeenda against na CCM kwenye Mambo mengi?Je namna alivyoongoza nchi ndio hivyo uliwahi kutegemea itakuwa hivyo? Ndio maana ya kuwa low key