Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Sababu mkristo mwenzenu Hana kashfa yoyote ni mtakatifu, sio? Yaan chuki yenu kwa Samia sababu tu ni muislam kkenge nyieUngekuwa unamjua vizuri Nchimbi usingeongea hivyo, wewe umewahi kusikia Nchimbi ana kashfa za ufisadi? au anatajwa kwenye Mambo maovu?
Na ndio Rais wako hadi 2040 bibie..vumilia tu.Nchi haikuwa tayar kwa rais mwanamke!
Wahuni wamechezesha,sasa wanachezesha nchi!
Unajua Kwanza malengo ya Nchimbi? Nchimbi anataka kuwa Raisi wa nchi so hawezi kufuata ushauri wakoKama kweli huyapendi, mbona unaendelea kuwa sehemu ya serikali inayoyapenda na kuyashabikia?
Sio wote ni wadini broo. Ingekuwa hivyo TAL asingekuwa mkosoaji mkubwa wa Mkatoliki mwenzie Jiwe, na Jiwe asingefanya jaribio la kumuua TALLazima mumpongeze sababu mwenzenu ktk imani...
Nyie ni wadini sana! Mi binafsi nimeshtuka kufuata mkumbo na chuki za kipuuzi! Watu kumbe mna ajenda zenu! Yaani nyie mpo radhi Nchi iongozwe hata na mamluki kutoka nje kisa tu awe mkristo mwenzenu? Hapana kabisaSio wote ni wadini broo. Ingekuwa hivyo Jiwe asingejaribu kumuua Mkatoliki mwenzie TAL
Mkuu unajua Mimi dini gani? au ndio tumezoe kuropoka ovyoSababu mkristo mwenzenu Hana kashfa yoyote ni mtakatifu, sio? Yaan chuki yenu kwa Samia sababu tu ni muislam kkenge nyie
sema ankali wako nae ni snitch of all time...ukim-zoom inKwa hili Ankali ameonesha yuko na wananchi.
Hata km ni UNAFIKI, ila yeye ameonesha wazi na amethubutu.
Wakuu,
Akizungumza kwenye msiba wa Kardinali Pengo Emmanuel Nchimbi Makamu wacRais wa Tanzania amesema yeye masuala ya kugombana kwa vyama anaona ni mambo ya kijinga
namjibia mim kwakuwa tunatoka mtaa mmoja NDIO SAMIA NI MJINGA NA HANA AKILI kabisaKwahiyo samia ni mjinga?
Siitaji kujua dini yako wewe na wahaini wenzio mkiongozwa na KEYtima.Mkuu unajua Mimi dini gani? au ndio tumezoe kuropoka ovyo
Wewe ndo mdini, unaunga mkono mwizi, fisadi, mtekaji, muuaji... kisa tu ni wa dini yako!Nyie ni wadini sana! Mi binafsi nimeshtuka kufuata mkumbo na chuki za kipuuzi! Watu kumbe mna ajenda zenu! Yaani nyie mpo radhi Nchi iongozwe hata na mamluki kutoka nje kisa tu awe mkristo mwenzenu? Hapana kabisa
VP😳😳 otherwise you have backdoor informationKwani yeye ana mamlaka gani kwenye hii serikali katili?
Aliyependekeza Nchimbi awe makamu wa Rais Nani?Ungekuwa unamjua vizuri Nchimbi usingeongea hivyo, wewe umewahi kusikia Nchimbi ana kashfa za ufisadi? au anatajwa kwenye Mambo maovu?
Mkuu Nakumaindi, MindyouWakuu,
Akizungumza kwenye msiba wa Kardinali Pengo Emmanuel Nchimbi Makamu wacRais wa Tanzania amesema yeye masuala ya kugombana kwa vyama anaona ni mambo ya kijinga
Huyu hatekwa bali 'wanamkolimba'. Mzee wa watu alisema CCM imepoteza mwelekeo huku akiwa bado mwana CCM wakamwekea sumu kwenye mike😭😭😭Huyu amatafuta kutekwa
Wa Tanzania ni wasaulifu sanaWewe ndo mdini, unaunga mkono mwizi, fisadi, mtekaji, muuaji... kisa tu ni wa dini yako!
Angalau Wagalatia walimkosoa sana Jiwe bila kujali kuwa ni wa dini yao.
Nikukumbushe kidogo kama umesahau juu ya madhila waliyopitia awamu ya Jiwe:
Askofu Gwajima aliburuzwa ndani akapimwa mkojo, askofu Kakobe aliambiwa sio Mtanzania, askofu Severin Niwemugizi, Mkatoliki kama jiwe aliambiwa sio Mtanzania, akatakiwa kuwasilisha vyeti vya kuzaliwa vya babu yake, bibi yake, wazazi, nk
Nasikia eti mchonga alihusika , CCM ni takataka kabisa 🚮Huyu hatekwa bali 'wanamkolimba'. Mzee wa watu alisema CCM imepoteza mwelekeo huku akiwa bado mwana CCM wakamwekea sumu kwenye mike😭😭😭
Kama Samia kaua maelfu ya watu halafu kawafukia hakuna linaloshindikana kwa CCM. Sasa kila siku wanahamisha maiti zilizoharibika.😭😭Nasikia eti mchonga alihusika , CCM ni takataka kabisa 🚮
Sasa kama ujui dini yangu kwanini unasema namchukia Samia kwasababu ya dini?Siitaji kujua dini yako wewe na wahaini wenzio mkiongozwa na KEYtima.