Nchimbi: Mimi hata mambo ya kugombana kivyama vyama siyapendi naona ni ujinga tu


Whether ni mambo ya Samia, serikali au CCM kwa kweli ni ujinga.

Ni mtu asiye na akili ndiye hatauona huu ujinga. Imagine watu wanatekwa na kuuawa bila sababu za msingi, watu wanafunguliwa kesi za uongo na za uhaini bila sababu, Chadema wanafungiwa kufanya siasa bila sababu ya msingi, viongozi badala ya kuchaguliwa na wananchi wanawekwa na mtu au kikundi cha watu. Kwa kweli huu ni ujinga. Lets call Spade a spade.
 
Asingekuwa vice president,Bi ushungi angemla kichwa kama speaker na waziri wa mambo ya ndani, alichosema ni kitu kizuri sana
Hilo ni la kweli umelisema mkuu.

Nimeamini hata mtu mjinga unayemchukia kuna siku anaweza kukufurahisha.

Bi ushungi kunifukuzia Tulia, Bashe na machawa wengine waliojiaminishia kupendwa na kuwaacha kama kuku walionyonyolewa, alinifurahisha.
 
 
Nchimbi ni kiongozi mwenye busara hata ukisikiliza hotuba zake unaona Hilo ni kiongozi mwenye ambition ya kutaka kuwa Raisi akiwa ni low key
"....ana 'ambition' ya kuwa Rais, akiwa ni low key"?

Hii ndiyo 'strategy' yake? Sasa hii mbona inamwondolea hata hizo sifa za mwanzo ulizompatia, ambazo na mimi nilizikubali!
Hawezi kuwa chui aliyejivisha koti la kondoo?

Mkuu, Hziyech22, nilitegemea utetezi wa kina zaidi ya huu kwa mtu anayewania kuwa kiongozi wa taifa kama hili.

Nchimbi kwa muda wote aliotumikia huko CCM na ngazi mbalimbali, hajaonyesha kuwa na sifa za kuongoza taifa nje ya mfumo uliopo wa CCM.
 
Nchimbi ni wale jamaa wenye Ukimwi wanaovaaga kondomu wakati wamekaribia kumwaga tu na mda wote wamekula peku...

Ila hadharani wanajifanya kupinga maambukizi.
 
Kuwa na ambition za urais ndani ya CCM Kuna namna inabidi uwe na ndio maana unamuona wakati mwingine baridi mwingine wa moto kwasababu kwenye maamuzi ya kuteua mgombea uraisi wa CCM huwa ni wamakundi ukionekana tishio uwa lazima figisu ufanyiwe hivi uliwahi kutegemea Hayati Magufuli angeenda against na CCM kwenye Mambo mengi?Je namna alivyoongoza nchi ndio hivyo uliwahi kutegemea itakuwa hivyo? Ndio maana ya kuwa low key
 
Basi sawa mkuu Hizyech22; kwa ufafanuzi wako huu ambao unaweka wazi kabisa tunavyotofautiana kati yangu na wewe.
Msingi wa tofauti zetu ni huo wa kuizungumzia CCM kana kwamba bado ni chama cha siasa chenye mlengo wa kuipeleka Tanzania mbele.

Kama wewe bado unafikiri hapo bado kuna chama cha siasa; sioni jinsi tunavyoweza kujadili uongozi wa mtu kama Nchimbi.
Kimsingi ni kuwa unavyomwelezea huyo Nchimbi ni kuwa ana-fit vizuri sana kwenye sifa za uozo uliopo huko CCM.
Huo siyo uongozi wa kutia matumaini.

Nadhani hili tuliachie hapa kwa sasa; na pengine tukijaaliwa kuna siku tutalijadili kwa kina chake kamili.
 
Kumbe kuna mada humu Jukwaani mkuu 'Hziyech22' inayothibitisha unayoyasema wewe..
Kichwa cha mada kinasema hivi: "Nchimbi awaomba viongozi wa dini kumwombea Rais Samia dhidi ya watu wabaya".
Kayasema maneno mazito sana yanayothibitisha haya yote uliyoyaeleza juu yake.
Mada hiyo ililetwa February 7, mwaka huu. Jaribu kuisoma. Utakubaliana na mimi kwamba hii ndiyo sampuli ya vongozi tunaowawekea matumaini katika taifa hili.. Mada imeanzishwa na 'Waufukweni. Nchimbi katoa bonge la hotuba mbele ya hao viongozi wa dini inayompa sifa zote unazomvisha wewe.

Hongera sana kwa kutambua viongozi wa namna hii.

Nilikuwa nimeaga kuhusu mjadala huu, lakini nikashindwa kujizuia kukumbuka uliyokwisha nieleza wewe, tokea tulipokutana kwenye jukwaa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…