Nchimbi: Mtu anayetafuta madaraka kwa kufarakanisha wenzake hafai kuwa kiongozi kwenye chama chetu

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
nchimbi.jpg

Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya ukabila au dini hafai kuwa kiongozi wetu, chama kibovu kitazaa serikali mbovu.“

Wakuu, unafikiri nchimbi alikuwa anamrushia nani kijembe?
 
Wewe umehisi kamrushia nani labda!
 
Kwani huwa hawaambiani huko sisiemuni?
Sisi wananchi hatutaki kujua hayo.
 
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya ukabila au dini hafai kuwa kiongozi wetu, chama kibovu kitazaa serikali mbovu.“

Wakuu, unafikiri nchimbi alikuwa anamrushia nani kijembe?
Sidhani kama CCM Ina uhalali wa kusema hivyo, kwa sababu wao kuendelea kubaki madarakani kunategemea na vitendo viovu vya kuwafarakanisha watu.
 
Duh, kweli wajinga hawawezi kuisha hata iweje. Yaani huyo katili na mropokaji ndo ana mvuto nje? Unless huo mvuto wa nje unaosema uwe ni makali,o yake makubwa.
Sana yaani ni kama maji lazima uyanywe, Dkt Makonda watanzani tunampenda kinoma! Mpaka wadudu wa Arusha wanamkubali sembuse wewe kipusa
 
Isije ikala kwao, jamaa ana mvuto sana huku nje
Tatizo hana unyenyekevu, anapendwa na watu wanaotaka wenzao wawe sehemu mbaya, kama ilivyokuwa kwa magufuli akifutwa mtu kazi ina kuwa shangwe kwa wengi.
 
Back
Top Bottom