Nchimbi: Mtu anayetafuta madaraka kwa kufarakanisha wenzake hafai kuwa kiongozi kwenye chama chetu

Wanasiasa nchi hii wanajuana, ni figisu, kurogana, kulala makaburini.. yani purukushani yoote hiyo wanagombea "KULA"
 
Duh, kweli wajinga hawawezi kuisha hata iweje. Yaani huyo katili na mropokaji ndo ana mvuto nje? Unless huo mvuto wa nje unaosema uwe ni makali,o yake makubwa.
Kama unadhani hana mvuto, kaaangalie ziara zake akiwa mwenezi linganisha na ziara za huyo katibu wenu wa sasa!

By the way.. Hivi unajua kama Samia juzi kagalagazzwa na marehemu kwenye kura za maoni?
 
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya ukabila au dini hafai kuwa kiongozi wetu, chama kibovu kitazaa serikali mbovu.“

Wakuu, unafikiri nchimbi alikuwa anamrushia nani kijembe?
Hawa wazee wanafiki wanajidai wazalendo kumbe ni majambazi! Wanataka wabongo wabaki na matendo yao yaleyale ya bila kuhoji na kufatilia vitu huku wakijificha kweneye kichaka cha maadili!
 
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya ukabila au dini hafai kuwa kiongozi wetu, chama kibovu kitazaa serikali mbovu.“

Wakuu, unafikiri nchimbi alikuwa anamrushia nani kijembe?
Huyu mzee hakumbuki kilichomkuta 2015?
 
Siku samia akigeukwa na wanaccm wenzake ndio atajua maana ya maneno ya Makonda
Hawa ndio adui zake
 
Duh, kweli wajinga hawawezi kuisha hata iweje. Yaani huyo katili na mropokaji ndo ana mvuto nje? Unless huo mvuto wa nje unaosema uwe ni makali,o yake makubwa.
Kwa hiyo unamtukana na aliyemteua
Ujue Rais ni taasisi na Rais kabla ya kuteua huwa kuna mchakato wa kumpitia mtu na kushauliwa sasa wewe na yeye nani mjinga??
 
Wamewasahau wananchi wanapigana vikumbo kugombea madaraka kwa kila mmoja kujipendekeza kwa mgawa vyeo kila mtu anataka aonekane yeye ndiyo mwema zaidi.
 
Kama unadhani hana mvuto, kaaangalie ziara zake akiwa mwenezi linganisha na ziara za huyo katibu wenu wa sasa!

By the way.. Hivi unajua kama Samia juzi kagalagazzwa na marehemu kwenye kura za maoni?
Hii imekaaje mkuu??
 
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya ukabila au dini hafai kuwa kiongozi wetu, chama kibovu kitazaa serikali mbovu.“

Wakuu, unafikiri nchimbi alikuwa anamrushia nani kijembe?
Makonda umesikia vizuri?
Jirekebishe!
 
Si huyo Makonda pekee, ndani ya Chama pia kunanuka.
 
Kwa hiyo unamtukana na aliyemteua
Ujue Rais ni taasisi na Rais kabla ya kuteua huwa kuna mchakato wa kumpitia mtu na kushauliwa sasa wewe na yeye nani mjinga??
Kwani Rais ni Mungu useme hakosei? Halafu ukute ni machawa tu ndo wamempogia chapuo kwamba kajifunza kumbe debe tupu asili yake kupiga kelele.
 
Kesho tena kwenye Wokazi dei pale mkoani lazima awekere tena
 
Back
Top Bottom