Nchimbi: Mtu anayetafuta madaraka kwa kufarakanisha wenzake hafai kuwa kiongozi kwenye chama chetu

Nchimbi: Mtu anayetafuta madaraka kwa kufarakanisha wenzake hafai kuwa kiongozi kwenye chama chetu

Makonda anaogopwa sana hadi boss anaongea mafumbo.
 
Duh, kweli wajinga hawawezi kuisha hata iweje. Yaani huyo katili na mropokaji ndo ana mvuto nje? Unless huo mvuto wa nje unaosema uwe ni makali,o yake makubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kesho tena kwenye Wokazi dei pale mkoani lazima awekere tena
Na atawakeraa!! Huwa haachi kupiga kwenye mshono yule baba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani Rais ni Mungu useme hakosei? Halafu ukute ni machawa tu ndo wamempogia chapuo kwamba kajifunza kumbe debe tupu asili yake kupiga kelele.
Makonda ni mbunifu na ana nyota ya kupendwa
 
Back
Top Bottom