Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unadhani hana mvuto, kaaangalie ziara zake akiwa mwenezi linganisha na ziara za huyo katibu wenu wa sasa!Duh, kweli wajinga hawawezi kuisha hata iweje. Yaani huyo katili na mropokaji ndo ana mvuto nje? Unless huo mvuto wa nje unaosema uwe ni makali,o yake makubwa.
Hawa wazee wanafiki wanajidai wazalendo kumbe ni majambazi! Wanataka wabongo wabaki na matendo yao yaleyale ya bila kuhoji na kufatilia vitu huku wakijificha kweneye kichaka cha maadili!
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya ukabila au dini hafai kuwa kiongozi wetu, chama kibovu kitazaa serikali mbovu.“
Wakuu, unafikiri nchimbi alikuwa anamrushia nani kijembe?
Huyu mzee hakumbuki kilichomkuta 2015?

CCM ni kusanyiko la wahuni na wala rushwaSidhani kama CCM Ina uhalali wa kusema hivyo, kwa sababu wao kuendelea kubaki madarakani kunategemea na vitendo viovu vya kuwafarakanisha watu.
Kawa Dkt tayariSana yaani ni kama maji lazima uyanywe, Dkt Makonda watanzani tunampenda kinoma! Mpaka wadudu wa Arusha wanamkubali sembuse wewe kipusa
Wa Israeli? Mkt wa CCM Simiyu?Wakuu, unafikiri nchimbi alikuwa anamrushia nani kijembe?
Basi awe Professor kabisaKawa Dkt tayari
Akaacha watu wamenuna haha...Inaonekana dogo alipoitwa, alipangua HOJA zote kikaoni.
Kwa hiyo unamtukana na aliyemteuaDuh, kweli wajinga hawawezi kuisha hata iweje. Yaani huyo katili na mropokaji ndo ana mvuto nje? Unless huo mvuto wa nje unaosema uwe ni makali,o yake makubwa.
Hii imekaaje mkuu??Kama unadhani hana mvuto, kaaangalie ziara zake akiwa mwenezi linganisha na ziara za huyo katibu wenu wa sasa!
By the way.. Hivi unajua kama Samia juzi kagalagazzwa na marehemu kwenye kura za maoni?
Makonda umesikia vizuri?
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya ukabila au dini hafai kuwa kiongozi wetu, chama kibovu kitazaa serikali mbovu.“
Wakuu, unafikiri nchimbi alikuwa anamrushia nani kijembe?
Acheni uchonganishiWapite nae tu wasipepese macho,kuitwa kwenye kamati ya maadili haitoshi.
Kwani Rais ni Mungu useme hakosei? Halafu ukute ni machawa tu ndo wamempogia chapuo kwamba kajifunza kumbe debe tupu asili yake kupiga kelele.Kwa hiyo unamtukana na aliyemteua
Ujue Rais ni taasisi na Rais kabla ya kuteua huwa kuna mchakato wa kumpitia mtu na kushauliwa sasa wewe na yeye nani mjinga??