Isije ikala kwao, jamaa ana mvuto sana huku njeWapite nae tu wasipepese macho,kuitwa kwenye kamati ya maadili haitoshi.
Duh, kweli wajinga hawawezi kuisha hata iweje. Yaani huyo katili na mropokaji ndo ana mvuto nje? Unless huo mvuto wa nje unaosema uwe ni makali,o yake makubwa.Isije ikala kwao, jamaa ana mvuto sana huku nje
Wewe umehisi kamrushia nani labda!
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya ukabila au dini hafai kuwa kiongozi wetu, chama kibovu kitazaa serikali mbovu.“
Wakuu, unafikiri nchimbi alikuwa anamrushia nani kijembe?
Sidhani kama CCM Ina uhalali wa kusema hivyo, kwa sababu wao kuendelea kubaki madarakani kunategemea na vitendo viovu vya kuwafarakanisha watu.
Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya ukabila au dini hafai kuwa kiongozi wetu, chama kibovu kitazaa serikali mbovu.“
Wakuu, unafikiri nchimbi alikuwa anamrushia nani kijembe?
Bado PCM anawatesa....🤣hivi hawa wazee walishamaliza ziara zao za kutatuo kero kisayansi au bado?
Naunga mkono hojaInaonekana dogo alipoitwa, alipangua HOJA zote kikaoni.
Sana yaani ni kama maji lazima uyanywe, Dkt Makonda watanzani tunampenda kinoma! Mpaka wadudu wa Arusha wanamkubali sembuse wewe kipusaDuh, kweli wajinga hawawezi kuisha hata iweje. Yaani huyo katili na mropokaji ndo ana mvuto nje? Unless huo mvuto wa nje unaosema uwe ni makali,o yake makubwa.
Makonda aliomba kama itakubalika awataje aliowatuhumu wakataa wakadai hana ushahidi, kwanini walikataa kama Makonda hana ushahidi?Inaonekana dogo alipoitwa, alipangua HOJA zote kikaoni.
Umepata wapi hizi habari😀Makonda aliomba kama itakubalika awataje aliowatuhumu wakataa wakadai hana ushahidi, kwanini walikataa kama Makonda hana ushahidi?
Leo tulikuwa Songwehivi hawa wazee walishamaliza ziara zao za kutatuo kero kisayansi au bado?
Ana mvuto amekuwa manzi huyo?Isije ikala kwao, jamaa ana mvuto sana huku nje
Tatizo hana unyenyekevu, anapendwa na watu wanaotaka wenzao wawe sehemu mbaya, kama ilivyokuwa kwa magufuli akifutwa mtu kazi ina kuwa shangwe kwa wengi.Isije ikala kwao, jamaa ana mvuto sana huku nje