amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 914
Ungeomba Mungu awape watanzania moyo wa kukusamehe.Ingekuwa nchi za demokrasia,ulitakiwa ujiuzulu wakati wa kifo cha Mwangosi.Uliposhauriwa kujiuzulu ukajifanya mjanja.Wakati wa bomu la Olasiti na viwanja vya Soweto ulishauriwa ujiuzulu lakini ukajifanya kukomaa.Ama kweli ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu.
