Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Huyu kashinikizwa, hajaamua 'kipenda roho'.]
Nchimbi kastaafu au kajiuzulu?
Kama kajiuzulu kwa sababu kashindwa kufanya kazi na muuaji Samia, well done.
Kama kalazimishwa na yeye akanywea, shame on him.
Sasa unajuaje wanapotikisana ndiyo unapata kupona na si kuangamia zaidi?Ngoja watikisane tupate kupona. Nchi hii imeliwa sana na haya maCCM bila sababu za msingi.
Tatizo si kuwa ostracized au kuwa outcast.This probably is a question of “descriptive vs normative”. In theory, that’s how it’s supposed to work, but in practice, the so-called president runs every show you can imagine. Kwenye hii nchi, uwezekano wa kuwa na VP ambaye Rais hamtaki is unsustainable. VP akifurushwa na chama atakuwa an ostracized outcast. Atatekelezaje majukumu yake?
Hiyo tutabaki kuisikia Kenya na kwingineko tu!
Aliteuliwa na Obama.Huyo Bharara aliteuliwa na Rais Trump?
Si tunakosea.Mnakosea mnapoilinganisha Tanzania na nchi kama Marekani. Rais wa Tanzania ana nguvu ambayo Rais wa Marekani hana. Marekani hata city mayors tu wanamdindia Rais na hana cha kuwafanya zaidi kuwatafutia a safe way ya kuwanyima federal dollars. Na hiyo asipoifanya carefully itakuwa nullified na mahakama!
Maelezo mengi, lakini sijauona uhaini ulipoNaingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mambo ya leo ni mengi. Alichokifanya bwana Nchimbi kutangaza "kujiuzulu" umakamu wa rais ni zaidi ya uhaini. Nasema haya kwa sababu anuai.
Kwanza, kitendo cha kukubali kuachia nafasi yake baada ya kushinikizwa na wanaCCM mtandao, kinaashiria jinsi alivyo muoga kama kunguru, tofauti na watu wengine wanavyompamba na kumuona kama shujaa. Huyu jamaa sio shukaa bali ni mnafiq na muoga kama walivyo waoga wengine. Kama kweli Nchimbi ni mwanaume rijali, alipaswa kukomaa. Sio kuachia madaraka kirahisi rahisi kama alivyofanya. Kuachia madaraka kirahisi baada ya shinikizo dogo tu kutoka kwa wanamtandao, kutawapa kiki sana Msoga gang & Co. Sasa wataanza kuitafuna nchi kama mchwa na kuna tetesi Ridhiwani Kikwete ndiye anapigiwa chapuo kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais. Sasa manyang'au wataanza kuitafuna nchi hadi mfupa wa mwisho.
Nchimbi angekuwa jasiri, angepigana vita akiwa humo humo ndani hadi afukuzwe, kama alivyofanya Rigath Gachagua kule Kenya. Lakini, kinyume na matarajio ya wengi, amekubali kuwa kunguru muoga amekimbiza mbawa zake na kuwaachia mafisi waendelee kuitafuna nchi bila uwoga. Afadhali alipokuwa anaunguruma akiwa jikoni, mafisi walikuwa wanaogopa kuchukua minofu yote. Baada ya kuondoka sasa tutarajie mafisi kula hadi mzani. Na tusisahau wazungu wamemnyima misaada Samuya na genge lake. Kuanzia sasa, hicho kidogo kinachopatikana kutokana na vyanzo vya ndani kitakuwa kinapitiwa na mafisi kama upepo.
Pili, kwa mujibu wa katiba, Nchimbi anahesabika kama Makamu wa Rais mstaafu. Kwa maana hiyo, yeye na mwenza wake wataendelea kulipwa 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliyepo madarakani. Aidha, serikali itamjengea nyumba, kumpa walinzi, mafuta, madereva, wapishi, nk. Kwa ufupi, ataendelea kuenjoy maisha kama Makamu wa Rais. Na haya yote yanagharamiwa na kodi za wanachi maskini wanaokula mlo mmoja baada ya siku 2. Kwa mukdhata huu, mtu yeyote makini na mwenye akili zilizotimia, hawezi kushangilia kujiuzuru kwa Nchimbi kwani kitendo alichofanya ni mzigo kwa taifa na walipakodi wa nchi hii. Kwa maana nyingine, Nchimbi ameamua kuwa mtumishi hewa kwa kuamua kukaa pembeni huku akiendelea kula bata 80% ya Makamu wa Rais mpya atakayeteuliwa. Huu ni zaidi ya uhaini. Watu wanalia kila siku kuhusu uhaini ambao hauwaumizi wanaacha uhaini wa Nchimbi utakaowachakaza kiuchumi moja kwa moja.
Hii nchi ina wananchi wenye akili za kinyumbu sana. Tazama Tundu Lissu anataabishwa kwa zaidi ya mwaka gerezani kwa uhaini wa mchongo huku wananchi hao hao wakishangilia uhaini wa Nchimbi na kumuona shujaa! Ama kweli ni bora mtu ukose mali upate akili. Watanzania ni nani aliyewaroga?
Tatu, kitendo cha kujiuzulu kwa Nchimbi kitawasahaulisha wananchi mambo muhimu yanayoendelea hapa nchini. Kwa mfano, ghafla bin vuu kesi ya uhaini wa mchongo wa Tundu Lissu sasa imepoteza mashiko. Sasa hivi watu wote wamehamia kwa Nchimbi. Yaani watu tunaacha kufuatilia mambo ya msingi yenye umuhimu wa kitaifa tunafuatulia tamthlia za CCM za "kujiuzuru" kwa Nchimbi. Na sio tu kwamba CCM wametupoteza maboya kwa hii tamthlia bali watatumia mwanya huu kuiba fedha za umma na kuzitorosha nje ya nchi kwa manufaa yao na vizazi vyao. Huu sasa ndio uhaini halisi.
MAONI YANGU
Nitamuona Nchimbi shujaa ikiwa ataendelea na msimamo wake ule ule wa kudai Katiba Mpya. Polepole alipojiuzulu aliendelea na msimamo wake hadi walipomuua. Naye anapaswa kusimamia msimamo wake bila kujali chochote, hata ikibidi auawe kama Polepole alivyouawa. Akifanya hivyo atakuwa shujaa wa taifa na kila mtanzania atamkumbuka kwa ushujaa wake.
Nawasilisha.
Ushafikiria kuwa inawezekana una overestimate uwezo wa viongozi wa Tanzania wa kutumia mantiki?Leo ndiyo nimemuelewa mantiki yake ya kusema 'komaeni kupigania Katiba mpya' kumbe ndiyo ilikuwa ni hii!
Watu walijiuliza sana, anawaasaje watu kupigania Katiba mpya huku mwenyewe akiwa ndani ya Serikali isiyotaka mabadiliko ya aina hiyo?
Kumbe alikuwa anatoa wosia kwamba hatakuwepo tena mamlakani!
Lakini tujiulize, kwani kustaafu kunamuondolea uTanzania wake na kumnyima haki zake za kutoa maoni kama tulivyo raia wengine?
Kwa hiyo madhila ya ukandamizaji yatokanayo na kudai Katiba mpya katuachia sisi, ye'hayamhusu kajitoa!
Kuna watu wabinafsi sana kuliko tunavyodhani!
Mkuu tunayapima ayasemayo mtu hasa akiwa kiongozi kuwa yana uzito.Ushafikiria kuwa inawezekana una overestimate uwezo wa viongozi wa Tanzania wa kutumia mantiki?
Yani kwamba they don't operate on logic?
Yani kwamba it's just vibes and shit, mostly shit?
Kiranga kweli wewe mkongwe umeshindwa kutambua tu ule mwandiko ni wa kindugai fulani ?Jasusi anasema ile barua hajaandika Nchimbi.
Nchi ngumu hii.
Hatupoi, hatuboi na hatutoboi.
View: https://youtu.be/2LzPtAQi3z4?is=TaC1M5MTB9cAbGjO
Nakuelewa.Mkuu tunayapima ayasemayo mtu hasa akiwa kiongozi kuwa yana uzito.
Lakini mtu huyo huyo(kiongozi) akiwa ni mzandiki wa kusema asichokiamini, si mimi tu, ni kwa mtu yeyote, kumuelewa ni vigumu sana.
Nimejibu hivi kama nitakuwa nimelielewa vizuri swali lako.
Muhani ukoo wenu woteeeNaingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mambo ya leo ni mengi. Alichokifanya bwana Nchimbi kutangaza "kujiuzulu" umakamu wa rais ni zaidi ya uhaini. Nasema haya kwa sababu anuai.
Kwanza, kitendo cha kukubali kuachia nafasi yake baada ya kushinikizwa na wanaCCM mtandao, kinaashiria jinsi alivyo muoga kama kunguru, tofauti na watu wengine wanavyompamba na kumuona kama shujaa. Huyu jamaa sio shukaa bali ni mnafiq na muoga kama walivyo waoga wengine. Kama kweli Nchimbi ni mwanaume rijali, alipaswa kukomaa. Sio kuachia madaraka kirahisi rahisi kama alivyofanya. Kuachia madaraka kirahisi baada ya shinikizo dogo tu kutoka kwa wanamtandao, kutawapa kiki sana Msoga gang & Co. Sasa wataanza kuitafuna nchi kama mchwa na kuna tetesi Ridhiwani Kikwete ndiye anapigiwa chapuo kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais. Sasa manyang'au wataanza kuitafuna nchi hadi mfupa wa mwisho.
Nchimbi angekuwa jasiri, angepigana vita akiwa humo humo ndani hadi afukuzwe, kama alivyofanya Rigath Gachagua kule Kenya. Lakini, kinyume na matarajio ya wengi, amekubali kuwa kunguru muoga amekimbiza mbawa zake na kuwaachia mafisi waendelee kuitafuna nchi bila uwoga. Afadhali alipokuwa anaunguruma akiwa jikoni, mafisi walikuwa wanaogopa kuchukua minofu yote. Baada ya kuondoka sasa tutarajie mafisi kula hadi mzani. Na tusisahau wazungu wamemnyima misaada Samuya na genge lake. Kuanzia sasa, hicho kidogo kinachopatikana kutokana na vyanzo vya ndani kitakuwa kinapitiwa na mafisi kama upepo.
Pili, kwa mujibu wa katiba, Nchimbi anahesabika kama Makamu wa Rais mstaafu. Kwa maana hiyo, yeye na mwenza wake wataendelea kulipwa 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliyepo madarakani. Aidha, serikali itamjengea nyumba, kumpa walinzi, mafuta, madereva, wapishi, nk. Kwa ufupi, ataendelea kuenjoy maisha kama Makamu wa Rais. Na haya yote yanagharamiwa na kodi za wanachi maskini wanaokula mlo mmoja baada ya siku 2. Kwa mukdhata huu, mtu yeyote makini na mwenye akili zilizotimia, hawezi kushangilia kujiuzuru kwa Nchimbi kwani kitendo alichofanya ni mzigo kwa taifa na walipakodi wa nchi hii. Kwa maana nyingine, Nchimbi ameamua kuwa mtumishi hewa kwa kuamua kukaa pembeni huku akiendelea kula bata 80% ya Makamu wa Rais mpya atakayeteuliwa. Huu ni zaidi ya uhaini. Watu wanalia kila siku kuhusu uhaini ambao hauwaumizi wanaacha uhaini wa Nchimbi utakaowachakaza kiuchumi moja kwa moja.
Hii nchi ina wananchi wenye akili za kinyumbu sana. Tazama Tundu Lissu anataabishwa kwa zaidi ya mwaka gerezani kwa uhaini wa mchongo huku wananchi hao hao wakishangilia uhaini wa Nchimbi na kumuona shujaa! Ama kweli ni bora mtu ukose mali upate akili. Watanzania ni nani aliyewaroga?
Tatu, kitendo cha kujiuzulu kwa Nchimbi kitawasahaulisha wananchi mambo muhimu yanayoendelea hapa nchini. Kwa mfano, ghafla bin vuu kesi ya uhaini wa mchongo wa Tundu Lissu sasa imepoteza mashiko. Sasa hivi watu wote wamehamia kwa Nchimbi. Yaani watu tunaacha kufuatilia mambo ya msingi yenye umuhimu wa kitaifa tunafuatulia tamthlia za CCM za "kujiuzuru" kwa Nchimbi. Na sio tu kwamba CCM wametupoteza maboya kwa hii tamthlia bali watatumia mwanya huu kuiba fedha za umma na kuzitorosha nje ya nchi kwa manufaa yao na vizazi vyao. Huu sasa ndio uhaini halisi.
MAONI YANGU
Nitamuona Nchimbi shujaa ikiwa ataendelea na msimamo wake ule ule wa kudai Katiba Mpya. Polepole alipojiuzulu aliendelea na msimamo wake hadi walipomuua. Naye anapaswa kusimamia msimamo wake bila kujali chochote, hata ikibidi auawe kama Polepole alivyouawa. Akifanya hivyo atakuwa shujaa wa taifa na kila mtanzania atamkumbuka kwa ushujaa wake.
Nawasilisha.
Mimi si mtaalamu wa muandiko na sijafikia ujinga wa kujipa utaalamu ambao sina, kuna watu wamesomea hivyo vitu na wengi wanajipa utaalamu huo hawajui chochote kuhusu taaluma hiyo.Kiranga kweli wewe mkongwe umeshindwa kutambua tu ule mwandiko ni wa kindugai fulani ?
Tuachane na hayo vipi hii vita ya maza against party members ndani ya party atatoboa kweli maana kanyoa wengi toka alivyokua mwenyekiti na wengine ni wakongwe na waandamizi ndani ya green ?
Kilichomuondoa Jiang Qing na genge katika siasa za China baada ya mauaji,utekaji na mvurugano katika siasa za China sio wananchi wa China bali mvurugano uliotokea ndani ya CCP.Mini si mtaalamu wa muandiko na sijafikia ujinga wa kujipa utaalamu ambao sina, kuna watu wamesomea hivyo vitu na wengi wanajipa utaalamu huo hawajui chochote kuhusu taaluma hiyo.
Kuna watu wamesomea forensic linguistic na behavioral and author profiling walichambua maandishi ya Theodore Kaczynski "The Unabomber" katika magazeti ya The New York Times na The Washington Post mpaka wakamdaka mjomba Ted huko Montana kwenye kibanda chake.
Mimi sina hiyo taaluma na tofauti na wabongo wengi, sina tabia ya kujibandika taaluma ambazo si zangu.
Kuhusu Samia na vita yake ya power.
Samia kaua maelfu, kwa nini unaona hiyo vita ya ma CCM ni tishio kwake zaidi ya vita na Watanzania aliyoianzisha kwa kuua maelfu, ambao ni wazi watakuwamo ndugu zao hao ma CCM wenzake?
Na hapo pa kumuangakia nani katolewa na nani kabaki ndipo mnapokosea. Kama mnataka mabadiliko ya kweli at least.Kilichomuondoa Jiang Qing na genge katika siasa za China baada ya mauji,utekaji na mvurugano katika siasa za China sio wananchi wa China bali mvurugano uliotokea ndani ya CCP.
Kilichomfanya Deng Xiaoping ang'oke na kukaa gizani kwenye siasa za China licha mauaji ya kutisha ya Tiananmen Square sio wananchi wa China bali utulivu ndani ya chama ulihitaji na Deng alilazimika ku step down.
Vyama mtindo wa CCP ya China vikuaga na factions ndani ya chama mtu kupanda kwenye position na kuwa nguvu ndani ya party itategemeana na faction yako ime consolidate power kiasi gani sasa Samia namuona anatengeneza makundi mengi sana ambayo atakuwa na vita nayo kubwa ya kuipigana ndani ya Chama.
Kiuhalisia watu kweli wenye nguvu ya kumuondosha au kumsimamisha Samia katika mfumo huu ni wanaCCM kinyume na hapo sioni hiyo nguvu ya wananchi kama wanaCCM watakuwa wote wamoja.
Mimi siku zote msimamo wangu ni vita pekee ndio itakayo itoa CCM madarakani hizi drama za CCM nazijadili tu kama mfuatiliaji wa CCM za Tanzania lakini sijawahi zifagilia kama ndio njia sahihi ya kuiondosha CCM.Na hapo ndipo mnapokosea. Kama mnataka mabadiliko ya kweli at least.
Kwa sababu, haya mabadiliko ya kumuondoa fulani na fulani, hayabadilishi mfumo.
Watu wamemlalamikia Magufuli udikteta.
Magufuli kafa. Kaja Samia.
Udikteta umekwisha? Wizi wa kura umekwisha? Ndiyo kwanza watu wameuawa zaidi.
Haya, Samia akimchagua Makonda kuwa Makamu wa Rais, halafu Samia akaondoka, Makonda akawa Rais, kwa mfano tu, udikteta utaisha?
Ndiyo maana mimi naona kushadadia vita za kuangalia nani katolewa na nani kaingia ni ujinga tu.
Hapa kitu cha kutolewa ni CCM na mfumo wake wote.
Huelewi wapi?
Ukweli ninkwamba Samia amesha conaolidate power ndani ya CCM, short of kumuua hakuna anayeweza kumsimamisha ndani ya CCM.Mimi siku zote msimamo wangu ni vita pekee ndio itakayo itoa CCM madarakani hizi drama za CCM nazijadili tu kama mfuatiliaji wa CCM za Tanzania lakini sijawahi zifagilia kama ndio njia sahihi ya kuiondosha CCM.
Acha tuone au tusubiri suprise move before 2030.Ukweli ninkwamba Samia amesha conaolidate power ndani ya CCM, short of kumuua hakuna anayeweza kumsimamisha ndani ya CCM.
The fact kwamba Samia ameweza kumtoa Nchimbi running mate wake kuwa VP, kitu ambacho hata Magufuli na ugangwe wake wote hakuweza kufanya licha ya kumchukia Samia na kimfanhia visa vingi, is a big statement.
Na nje ya CCM watu wamenyamazishwa na matukio ya October 29 2025.
Mpaka sasa kulitakiwa kuwe na matayarisho makubwa ya maadhimisho ya mwaka mmoja October 29, that is just two months away.
Lakini sisikii matayarisho ya kutosha. If that is deliberate and strategic ni sawa, naelewa. But I am not very sure that is the case.