Umetumwa kutuuza, unasema tutoke tupambanie Katiba ili tufe wakati Katiba unayo kabatini na 'ufunguo unao'.
Unataka Wanaharakati warudi ili uwauze wakamatwe unataka kuwauza vijana wafe halafu ukae kimya kama ulivyofanya oktoba 29, ili upate ulichoahidiwa.
Kuna sehemu nilisoma kuwa wewe eti ni mafia, unataka kumuuza Maria arudi umnyamazishe, umponze Kimambi arudi akamatwe, umponze Sativa mje kummalizia.
Ushauri wangu, ili jamii ya Watanganyika ikuamini jitenge kwanza na wauaji jitenge na damu ya Mo29.