Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Umesoma vizuri mada?Hii ni experience mpya, maana wakati wa kupaa na kutua ni ngumu kutegemea hivyo vidude vya kushikilia.
Enzi nikiwa wadogo, Mimi mzazi wangu tuliwahi kupata "lifti" kwenye ndege ya Jeshi. Ngoma ilikuwa full kusimama "Mwanza to Dar"!Hii ni experience mpya, maana wakati wa kupaa na kutua ni ngumu kutegemea hivyo vidude vya kushikilia.
No, Ryanair has not launched seatless flights. Recent rumors about the airline introducing "standing" or "seatless" flights, specifically with saddle-style Skyrider 2.0 seats, have been debunked. Ryanair has explicitly denied plans to implement standing seats, stating they have no intention of offering such options.The concept of standing seats was proposed by Italian manufacturer Aviointeriors in 2018, and while it has passed safety tests, no airlines, including Ryanair, have confirmed plans to adopt them. Reports suggesting a 2026 launch were based on speculation, and Ryanair has clarified they are not pursuing this.The confusion may stem from Ryanair CEO Michael OโLearyโs past comments about standing seats as a cost-cutting idea, but these have not materialized. Always check official airline statements for accurate information, as social media posts can spread unverified claims.View attachment 3349950
Hivi utajisikiaje ukiwa umepanda Ndege halafu unasimama kama kwenye mwendokasi freshi sio!!
Shirika moja nchini Ireland linaitwa Rynair limeleta safari za ndege za gharama nafuu kwa kuweza kupunguza nauli za ndege na kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake.
Mpango huu ni kuwezesha abiria kuweza kusafiri kupitia kusimama wakati wote wa safari,
View attachment 3349952
kwa kutumia mikanda salama maalum ambayo imeambatanishwa kwenye Kuta za ndege. Teknolojia hii kwa sasa iko kwenye hatua za Majaribio.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa mtandaoni mfano wa safari nauli yake inaweza kuwa Euro ๐ถ 10 ambapo sawa na Tanzania shilingi elfu thelathini ambapo safari itakua kutoka Tanzania kwenda ufaransa umbali wake ni masaa 9 angani.
Lengo ni kuwezesha watu wa kipato cha chini kuweza kusafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine bila shida yoyote. Unasemaje kuhusu Teknolojia je iletwe au lah tuachie maoni yako?
View attachment 3349950

Dunga atadunga masaa 9 hiyo ni hatari.Inatahisisha dungadunga
Utaenda ufaransa kisa nauli unaimudu utafikia hotel gani na utakaa kwa muda gani ukiwa unafanya nini? Unafikiri visa watakupatia kisa una elfu 30 ya kwenda ufaransa?30,000 bongo mpaka ufaransa hata mim ntaenda
Umeshaambiwa hakuna kukaa, lengo muwe wengi mbona mwendokasi huendi na shangazi kaja ukalie?Wazilete bongo
Tutakalia mashangazi kaja....