๐—ก๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—œ๐—ฟ๐—ฒ๐—น๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—ณ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ

Hata basi husimami masaa9. Hizo zitakua kwa safari fupi. Usi gizi ukija unalala chini, marubani itabidi wawe na bakora za kuamsha abiria, ndege ikitua/paa hamna kufunga mkanda. Kiusalama haipo sawa kwa wanywa kilevi
Unalalaje wakati wa kusafiri
 
View attachment 3349950

Hivi utajisikiaje ukiwa umepanda Ndege halafu unasimama kama kwenye mwendokasi freshi sio!!

Shirika moja nchini Ireland linaitwa Rynair limeleta safari za ndege za gharama nafuu kwa kuweza kupunguza nauli za ndege na kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake.

Mpango huu ni kuwezesha abiria kuweza kusafiri kupitia kusimama wakati wote wa safari,

View attachment 3349952

kwa kutumia mikanda salama maalum ambayo imeambatanishwa kwenye Kuta za ndege. Teknolojia hii kwa sasa iko kwenye hatua za Majaribio.

Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa mtandaoni mfano wa safari nauli yake inaweza kuwa Euro ๐Ÿ’ถ 10 ambapo sawa na Tanzania shilingi elfu thelathini ambapo safari itakua kutoka Tanzania kwenda ufaransa umbali wake ni masaa 9 angani.

Lengo ni kuwezesha watu wa kipato cha chini kuweza kusafiri kutoka nchi moja kwenda nyingine bila shida yoyote. Unasemaje kuhusu Teknolojia je iletwe au lah tuachie maoni yako?
downloadfile.gif
 
Hata basi husimami masaa9. Hizo zitakua kwa safari fupi. Usi gizi ukija unalala chini, marubani itabidi wawe na bakora za kuamsha abiria, ndege ikitua/paa hamna kufunga mkanda. Kiusalama haipo sawa kwa wanywa kilevi
Wewe hausimami, enzi za Nyerere na Mwinyi watu walisimama toka Dar mpaka Mbeya, tena usiku kucha.
 
Back
Top Bottom