Nchini Tanzania, bullying ni kitu cha kawaida?

Nchini Tanzania, bullying ni kitu cha kawaida?

Ukisoma comments kwenye huu uzi,unaweza kufikiri wachangiaji wengi ni wazungu au ni wageni kabisa TZ,
Kila mtu analaumu na kujitoa kabisa kua yeye hua hamfanyii mtu yeyote bullying bali anawalaumu wanaowafanyia wenzao Bullying,

Sisapoti bullying ila kataa unyonge,
Mpokee mtu kama atakavyo kuijia ili siku nyingine kabla ya kukuletea hizo bullying,lazima ajifikirie kwanza,
Dunia ya leo ni sawa na uwanja wa vita,usipo jisimamia basi hakuna wakukusimamia au kukupigania,

Jiheshimu,heshimu wenzako,utapunguza au utaondoa kabisa watu kukufanyia Bullying,

Au nasema uongo ndugu wananchi?
 
Unamfanyia bullying mtu ambae hakuhusika kabisa katika uumbaji wake
Hapo kosa lake liko wapi sasa 😢

Ubinadamu kazi sana
Watoto shuleni ni wahanga wakubwa wa bullying, ina madhara kwa uwezo wa taaluma ya mtoto..
Mtoto anaweza akashuka kwa kujiamini, akawa na mawazo, n.k hii inaweza pelekea mtoto akawa mtoro shuleni.. inaweza kumuharibia mtoto maisha yake maana ni athari za muda mrefu..
 
Bullying kwa kiswahili ni uonevu , na ukiona unaonewa jua wewe ni mnyonge, kuepuka kuwa bullied acha unyonge, acha kutia huruma, pambana
Niliwahi kumuambia mtoto wangu,ni marufuku kunishtakia/kuniambia amepigwa.Mimi nataka nipate kesi zake amembonda mtu siyo yeye kupigwa ila asimchokoze mtu.Akili kichwani mwake.
 
Watoto shuleni ni wahanga wakubwa wa bullying, ina madhara kwa uwezo wa taaluma ya mtoto..
Mtoto anaweza akashuka kwa kujiamini, akawa na mawazo, n.k hii inaweza pelekea mtoto akawa mtoro shuleni.. inaweza kumuharibia mtoto maisha yake maana ni athari za muda mrefu..
Ajabu sana
Kuna wazazi wanaelea watoto vizuri
Niliona clip mtandaoni mtoto alimsimanga mtoto mwenzie kwa kumsema amevaa viatu vibovu na vimechakaa mama wa yule mtoto aliona kile kitendo

Alimwambia mtoto wake avue viatu na wabadilishane na yule mtoto

Nilipenda ile video kwa sababu sio rahisi tena yule mtoto kurudia lile kosa
 
bullying wanazofanya Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa kwenye Jukwaa la Siasa sio poa kabisa
Gentleman,
haya mambo ya bullying,
si ni traditional sports huko Luhya community, Kakamega county Kenya, ambapo senetor wake mh. Boni Khaluwale ndio bull fighter mkuu huko? Mzee wa kupiganisha mang'ombe ?

kumbe na huku nako hizi mambo zipo ingawa kwa kusingiziana?

Ukizingatia stadi za maisha kwa weledi hakuna mtu anaweza kukufanyia wewe au mwanao hiyo kitu useless kabisa gentleman.

ni vile sonona imefanya wengi kujikataa na kujifanyia bullying wenyewe na ndio maana pamoja na uzee wako, ukiwa mnyonge wa kiuchumi, hata kitoto kidogo tu chenye pesa zake kinaweza kukutuma chochote nawe ukadhani ni bullying kumbe umeyakosea maisha mwenyewe 🐒
 
Back
Top Bottom