Nchini Tanzania, bullying ni kitu cha kawaida?

Hata humu jamiiforums bullying ipo sana...
Kila mahali..imekuw jambo la kawaida.
Imefikia mahali kama watu wazima tuamke tubadilishe hii tabia.hata mie nimeacha nimegundua si salama kabisa kiakili.haswa katika suala la makuzi na kumjenga mtu ajiamini na kujiona mwenye thamani.
We imagine mwalimu shuleni amsimamishe mwanao na kumwambia "muone na masikio yake kama popo"
Unadhani huyu mtoto akili yake itakuwaje?
Confidence itashuka kama atajali Kwa kiwango kikubwa anayoambiwa
 
Ni kweli mkuu...
Bullying inaweza kuwa sababu ya kumuharibia mtoto maisha yake..
 
Hapa nyumbani Tanzania, Bullying inafundishwa tangu vidudu

Mwalimu: Mwanafunzi wa kwanza ni X, mpigieni makofi

Mwalimu: Mwanafunzi wa mwisho ni Z, haya mzomeeni....huyooo

Utazomewa kuanzia chekechea hadi kwenye utafutaji wa maisha

Mkeo: We Mwanaume gani kazi kushinda kijiweni tu, Mimi ndiyo nafanya kazi ya kukulisha wewe na watoto wako (Hapo mume amesimamishwa ajira miezi 2 kupisha uchunguzi wa tuhuma zake)

Bullying every here and there, hadi tunakwenda kaburini
 
Unamfanyia bullying mtu ambae hakuhusika kabisa katika uumbaji wake
Hapo kosa lake liko wapi sasa 😢

Ubinadamu kazi sana
Inafikirisha mno.na Kwa bahati mbaya yanaturudi mpaka imekuwa kawaida.
Yani wewe unambully mtoto wa jirani,jirani anambully wako,muuza anakubully wewe.
Afadhali basi mtu mzima.vipi mtoto?
 
Mtoto anaharibiwa saikolojia akiwa bado mdogo sana ndio matokeo ya wale watu wazima wasiokubali muonekano wao
 
Hapa nyumbani Tanzania, Bullying inafundishwa tangu vidudu

Mwalimu: Mwanafunzi wa kwanza ni X, mpigieni makofi

Mwalimu: Mwanafunzi wa mwisho ni Z, haya mzomeeni....huyooo

Utazomewa kuanzia chekechea hadi kwenye utafutaji wa maisha

Mkeo: We Mwanaume gani kazi kushinda kijiweni tu, Mimi ndiyo nafanya kazi ya kukulisha wewe na watoto wako (Hapo mume amesimamishwa ajira miezi 2 kupisha uchunguzi wa tuhuma zake)

Bullying every here and there, hadi tunakwenda kaburini
😄😄 Labda ndio mtindo unaotufit waafrika
 
Kuna mtu aliwahi niambia masikio kama kobe, nikamwambia endelea kuwa kama gunia la mashudu huku uso ukiwa mwekundu mithili ya jua kuchomoza..... Alilia kutwa nzima na kuja kuomba msamaha....

Mwingine ety we msenge afu demu kwanza nilimpa makofi na fimbo za kutosha, nikamwambia punga babako maake nililala naye jana na umalaya uache na mamako naye na mama yake wakaninunia mwezi mzima

Siku hizi nimekuwa na nilikuwa mkali hivyo watu hawanisogelei kienyeji
 
Tukiwa watoto tulipitia hayo.tunaweza epushia watoto wetu pia.
Wengine hawana nguvu ya kustahimili.
Nje wakimbully,wewe ndani mpe moyo na hamasa.
Ikiwa tu jamii itashindwa kubadilika
Tunaishi kimakundi, na kwenye kundi lazima kuwe na matabaka. Hili jambo ni asili.

Watoto wanaathirika zaidi, ila kwa mtu mzima inabidi aelewe tu.
 
Back
Top Bottom