Ndama wa namna hii akizaliwa zizini kwako, je utamwacha aishi au utamuuwa haraka kabla majirani hawajamuona? Je nini husababisha hali hii?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Ndama huyu wa ng'ombe amezaliwa kwenye shamba (ranch) ya rafiki yangu mwenye Asili ya Ujerumani.

Nimejiuliza maswali mengi sana nimekosa majibu makini.

Je akizaliwa kwako utamtunza?
Au utamuua fasta isije ukaonekana ulikula mzigo?
Je hali hii husababishwa Na nini?
 
Kwa ni sayansi gani hiyo iliyokuambia binadamua na myama wanaweza kuzaliana? Mbuzi tu na Kondoo hawawezi kuzaliana sembuse bunadamu?

Huo ni ulemavu tu wa kijenetiki na unachopswa ni kuhakikisha huyo na mama yake na baba yake hawakutani tena katika kuzaliana ili kuondoa uwezekano wa huo ugonjwa wa kurithi kuitokeza tena.
 
Inatakiwa wakutane tena ili waistaajabishe dunia kwa Mara nyingine tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…