KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
- #41
Simba kuzaa tembo je?hiyo haiwezekan ya simba kuzaa kuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba kuzaa tembo je?hiyo haiwezekan ya simba kuzaa kuku
Ahaaa yaani weweNakata kichwa nauza kwa waganga wa kienyeji.. Nyama nauza kwa wachina mbuzi
Wanyama nao wako busy kubakwa na kina dada, haswa Uncle mbwaWanaume acheni kubaka wanyama
Ndama wa tambikoNdama huyu wa ng'ombe amezaliwa kwenye shamba (ranch) ya rafiki yangu mwenye Asili ya Ujerumani.
View attachment 3174333View attachment 3174334
Nimejiuliza maswali mengi sana nimekosa majibu makini.
Je akizaliwa kwako utamtunza?
Au utamuua fasta isije ukaonekana ulikula mzigo?
Je hali hii husababishwa Na nini?
Genetic disordersUlemavu alionao husababishwa Na nini? Mchungaji alichochora mama ng'ombe AU ndio KAZI ya Mungu haina makosa?
haiwezekanSimba kuzaa tembo je?
Huwezi kuzaa na mnyama hata siku mojaHiyo kazi ya wafugaji kupiga miti mifugo wakiwa huko maporini
Haswa bossGenetic disorders