Ndama wa namna hii akizaliwa zizini kwako, je utamwacha aishi au utamuuwa haraka kabla majirani hawajamuona? Je nini husababisha hali hii?

Hiyo inaitwa mandibulofacial dysostosis (MD) au Treacher collins syndrome , inaweza kutokea hata kwa binadamu.
husababishwa na genetic variation kwa hiyo hapo ondoa dhana ya kwamba binadamu anaweza akawa amemuingilia mama wa huyo kiumbe mpaka kusababisha azaliwe hivyo. animals of different species can not breed.
 
Mbwa akazaa tembo?
 
Huyo ndama ukimpeleka kwenye mnada hukosi pesa ndefu.
 
Zamani walikuwa wanasema mjamzito akimchukia mtu basi atazaa mtoto anaefanana nae
Labda mama ndama alikuwa anamchukia msela anayemlisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…