Ndani unapambana na TEC, nje unajipendekeza Vatican. Hizi ni akili ama matope!?

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Ni kama kila waziri yuko na mission yake. Kila mtu anajiendea anavyoona inafaa, no organized mission for the same purpose.

Yani purpose iliyowapeleka Vatican ni kuhusu matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29. Msimamo wa TEC mlipingana nao tena bado mnaendelea kupingana nao kwa kulichafua kanisa.

Badala myajenge kwanza huku ndani, nyie mnakimbilia Vatican kwenda kujipendekeza! It doesnt work like that!

Hii sasa ndo huwa inaitwa mmeruka mkojo mmekimbilia mavi!
Screenshot_20260128_220549_Chrome.png
 
Te

View attachment 3535727
Tena matope ya mavi ya mkorogo wa mkojo
 
Wanafikiri Kanisa ni kama CHAUMMA, kwamba wanaweza kudanganywa gari la kampeni, wakahadaika, na kusahau misingi ya imani. Kanisa halihongeki kwa maneno wala kwa pesa.

Wakiri uovu walioutenda, wawaombe msamaha waliowatendea uovu, ikiwa ni pamoja na familia ambazo zinaomboleza. Wakiwa na dhamira ya dhati ya kujutia uovu wao na kutaka kuigeukia haki, Kanisa litakuwa tayari kusimama katikati na kupalilia moyo wa msamaha. Lakini ujanja ujanja wa kutakatisha uovu, kamwe Kanisa haliwezi kushiriki katika uovu wao.
 
Ni kama kila waziri yuko na mission yake. Kila mtu anajiendea anavyoona inafaa, no organized mission for the same purpose.

Yani purpose iliyowapeleka Vatican ni kuhusu matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29. Msimamo wa TEC mlipingana nao tena bado mnaendelea kupingana nao kwa kulichafua kanisa.

Badala myajenge kwanza huku ndani, nyie mnakimbilia Vatican kwenda kujipendekeza! It doesnt work like that!

Hii sasa ndo huwa inaitwa mmeruka mkojo mmekimbilia mavi!
View attachment 3535727
Siyo kwamba wamepeleka ushahidi wa TEC kujihusisha na siasa na vurugu za oktoba 29!?
 
Kwenda huko baada ya kutatua matatizo ya ndani sijui wamewaza nini inaonekana huko hawana washauri wazuri wa mambo ya uhusiano wa kimataifa.
Maana uhusiano wa kimataifa kwa watu wako unaanzia ndani sasa hapa pana matatizo unaenda eti juu kwanza watakushangaa ingawaje utaratibu wa kanisa sio kukataa maombi ya kukutana.
 
Wakiri uovu walioutenda, wawaombe msamaha waliowatendea uovu, ikiwa ni pamoja na familia ambazo zinaomboleza. Wakiwa na dhamira ya dhati ya kujutia uovu wao na kutaka kuigeukia haki, Kanisa litakuwa tayari kusimama katikati na kupalilia moyo wa msamaha. Lakini ujanja ujanja wa kutakatisha uovu, kamwe Kanisa haliwezi kushiriki katika uovu wao.
Kitu kinachoshangaza ni kuwa Samia na Genge lake hawajifunzi chochote!

Kwa nini hawatambui kuwa ULAGHAI wao haulipi chochote?
Badala yake wanakomaa nao tu hivyo hivyo; hadi sijui lini watakapotambua kuwa hawaaminiki tena kwa lolote!

Kwa mfano: Ulaghai/uswahili wa kuunda tume ya rais ambaye ni Feki; matokeo yake hayawezi kuwa tofauti na uFEKI wa aliyeunda hiyo tume.
Lakini Samia haamini kuwa watu wenye akili timamu hawawezi kujuwa ulaghai/uswahili huo!
 
Siyo kwamba wamepeleka ushahidi wa TEC kujihusisha na siasa na vurugu za oktoba 29!?
Papa anajua kila kitu hata kabla ya wao kwenda,

Fikra za kina Kombo zinawaendesha kisiasa kuwa Vatican ni top kama ikulu na Papa ni rais atatoa order huku chini washughulikiwe, the opposite is true, Papa ataomba ushauri kwa maaskofu wa Tanzania kujua nini kifanyike. Haha.
 
Back
Top Bottom