Ndani unapambana na TEC, nje unajipendekeza Vatican. Hizi ni akili ama matope!?

Mleta mada amejaa uongo na unafiki mpaka anashindwa kusema ukweli kuwa ni TEC ndiyo wanaopambana na Samia na si Samia anayepambana na TEC, pole sana!
 
Nilivyomuona Samuya na Ziara yake Vatikani baada ya kuwa mkuu wa kaya nikasema kweli Wakatoriki taasisi kubwa mno. Ni kweli baada ya Oct29 wamejipeleka viongozi 10 huko VATKANI sasa unashangaa wanaendaga kufanya nini huko? Kwanini wasielekee Macca kuwashtaki wakata vichwa wao? TEC ipo na itaendelea kusema ukweli kwa haki kabisa.
Hawajui utaratibu wa kuonana na Papa na mambo yao yafanyiwe kazi inabidi waanzie nyumbani hao jamaa wanawachukulia poa mara wawapige na kusema sijui walilewa kule Vatican taarifa zote wanazo ila ukiwaruka na kwenda kule juu wanakushangaa na jambo lako hawakifanyii kazi kabisa zaidi ya kupiga nao picha tu ukiwauliza ule jumbo kama ulisomwa hawafungui wanaurudisha Afrika tena..
 
Kwamba Holy see hawajui hadi washitakiwe na wanasiasa? Give us a break dude! Unalifahamu kanisa hili lakini? Kanisa lililopambana na Adolf Hitler mpaka mwisho? Neno Jasusi limetoka kutoka kwa Jesuits! wachunguzi wakuu duniani!! aka kiboko cha papa!
Hawezi kukuelewa
Yeye ana inferiority complexities kwa Nini viongozi wa kiisla
Kila nikitaka kutoa stress basi nakuja humu jf kusoma comments za haters wa Samia, Kwakweli wanachekesha. Ni wazi kuwa WAMEKWAMA, WAMEFADHAIKA, WAMEUMBUKA, WAMEPYAMBYIKA, WANA HASIRA, WAMEKUMBWA NA AIBU n.k.

Tulieni haters wapumbavu;
1. Huyo ndo Mahmoud Kombo, Sergey Lavrov wa Africa!! Uwezo wake si wa kueleweka na watu wenye akili ndogo na wenye mihemko kama nyie vinyumbu vya lissu, lema na TEC.......kwa kifupi hamutoshi hata kuingia kwenye mjadala wake wowote, acha mbali kuwafikiria tu.
2. Huyo ndo Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Mungu alisema, "We utakuwa Raisi wa Tanzania" na imekuwa hivyo. TEC wamejitahidi na wanajitahidi kwa Kila namna kumharibia lakini imeshindokana mpaka Sasa.....jahazi linaenda, tena kwa usalama kabisa.
3. Pope sio Kitima au Mwamakula, WAPUMBAVU NYIE!!!! Isingekuwepo Sasa kama ingekuwa na akili za kiTEC.
Hawa wauza hazina ya dhahabi ndo unawamwagia hiyo misifa!
Anyway tukutane ICC!
Huko Vatican zaidi ya kwenda kuombewa naamini Kuna kitu kubwa sana kinaombwa!
Kwa Nini hawakwenda Mecca lakini?
 
Pale unapoenda kumuonjesha mtu karanga ili azitupilie mbali jojo zake.

Kwa sasa taifa linaongozwa na vilaza wa kiwango cha juu sana. We are being led by imbeciles.
 
Serikali inafanya maamuzi kutokana na wasemacho Vatican? Nyie wenyewe huku mmeshindwa kuwashtaki TEC?

Nilikuambia hii serikali yako imejaa mabumunda inaonea wasiokua na lolote. Makanisa ya gwajima mlifunga haraka haraka Ila kwa wakatoliki mmeufyata mkia, mnaishia kujipendekeza vatican
Marais wote walikua na walau staha na katoliki,lakini mwanamke Samia kalivua nguo kanisa,kaliweka linapostahili,lilidhani kama unavyodhani,yaani lipo juu ya serikali

Kwa tz huwezi amka na kuamuru kufunga misikiti,utakua bumunda,hapa umeonesha wewe ndiyo bumunda
 
Kwa hiyo Vatikani wakiwaambia Serikali wasitoe kibano kwa TEC basi serikali haitowashtaki hao TEC au.Inamaana Serikali inaamuliwa maamuzi yake na VATIKANI na TEC??
Serikali kukimbilia Vatikani na kuomba waombewe ni dalili za kuwashindwa hao Wakatoriki, wanashindwa kuwashughulikia ndo maana wanaenda kujipendekeza VATIKANI.
Halafu wakishughulikiwa mnalia
Kwa akili yako wameenda kuomba tz iombewe!?
Huyo rais mwenyewe salamu yenu tu hataki kutoa,leo aamini papa anaweza omba na ikawa!?
 
Hawezi kukuelewa
Yeye ana inferiority complexities kwa Nini viongozi wa kiisla

Hawa wauza hazina ya dhahabi ndo unawamwagia hiyo misifa!
Anyway tukutane ICC!
Huko Vatican zaidi ya kwenda kuombewa naamini Kuna kitu kubwa sana kinaombwa!
Kwa Nini hawakwenda Mecca lakini?
Hawajaenda mecca mnakutaja, vp wakienda?!!! Halafu huko Vatican, nyie mburura, so mara ya kwanza kwenda kwani Samia alishakwenda yeye mwenyewe.......
Sawa, rukutane huko ICC
 
Ni kama kila waziri yuko na mission yake. Kila mtu anajiendea anavyoona inafaa, no organized mission for the same purpose.

Yani purpose iliyowapeleka Vatican ni kuhusu matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29. Msimamo wa TEC mlipingana nao tena bado mnaendelea kupingana nao kwa kulichafua kanisa.

Badala myajenge kwanza huku ndani, nyie mnakimbilia Vatican kwenda kujipendekeza! It doesnt work like that!

Hii sasa ndo huwa inaitwa mmeruka mkojo mmekimbilia mavi!
View attachment 3535727
Wamejaza mavi kichwanj
 
Kila nikitaka kutoa stress basi nakuja humu jf kusoma comments za haters wa Samia, Kwakweli wanachekesha. Ni wazi kuwa WAMEKWAMA, WAMEFADHAIKA, WAMEUMBUKA, WAMEPYAMBYIKA, WANA HASIRA, WAMEKUMBWA NA AIBU n.k.

Tulieni haters wapumbavu;
1. Huyo ndo Mahmoud Kombo, Sergey Lavrov wa Africa!! Uwezo wake si wa kueleweka na watu wenye akili ndogo na wenye mihemko kama nyie vinyumbu vya lissu, lema na TEC.......kwa kifupi hamutoshi hata kuingia kwenye mjadala wake wowote, acha mbali kuwafikiria tu.
2. Huyo ndo Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Mungu alisema, "We utakuwa Raisi wa Tanzania" na imekuwa hivyo. TEC wamejitahidi na wanajitahidi kwa Kila namna kumharibia lakini imeshindokana mpaka Sasa.....jahazi linaenda, tena kwa usalama kabisa.
3. Pope sio Kitima au Mwamakula, WAPUMBAVU NYIE!!!! Isingekuwepo Sasa kama ingekuwa na akili za kiTEC.
unapalilia ugali wako, uandishi wa kitoto sana wa kijana wa ccm maslahi
 
Halafu wakishughulikiwa mnalia
Kwa akili yako wameenda kuomba tz iombewe!?
Huyo rais mwenyewe salamu yenu tu hataki kutoa,leo aamini papa anaweza omba na ikawa!?
Sasa kama salam hataki kutoa kwanni awatume mamluki Vatkani? Acheni kujichanganya machawa wake. Shida mnachokitetea na wanachokifanya ni tofauti. Nyie mnasema TEC na wakatoliki ni wabaya na wakati huohuo tunawaona serikali tena mamluki wazito wakilamba miguu ya papa, sasa nyie mko upande gani?
Mkiwa Lumumba muwe mnazijua za ndani kabisa ili mkija mitandaoni mjue jinsi ya kutetea na si kujikanyaga mnakojikanyaga kuhusu Wakatoliki.
Kama kuwashughulikia watu wenye makosa kama yaliyofanyika Oct29 yanahitaji majadiliano mtuambie sababu mnasema nyie ni nchi huru isiyoingiliwa na yeyote kimaamuzi. Tunapowaona mko Vatikn then mnasema mmeenda kuwasema TEC kwa papa sijajua mnamaanisha nini kama nchi huru inayojitawala na kujiamlia mambo yake. CHAWA mnajichanganya sana sabab mnaowatetea hawwapi script nzima.
 
Kila nikitaka kutoa stress basi nakuja humu jf kusoma comments za haters wa Samia, Kwakweli wanachekesha. Ni wazi kuwa WAMEKWAMA, WAMEFADHAIKA, WAMEUMBUKA, WAMEPYAMBYIKA, WANA HASIRA, WAMEKUMBWA NA AIBU n.k.

Tulieni haters wapumbavu;
1. Huyo ndo Mahmoud Kombo, Sergey Lavrov wa Africa!! Uwezo wake si wa kueleweka na watu wenye akili ndogo na wenye mihemko kama nyie vinyumbu vya lissu, lema na TEC.......kwa kifupi hamutoshi hata kuingia kwenye mjadala wake wowote, acha mbali kuwafikiria tu.
2. Huyo ndo Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Mungu alisema, "We utakuwa Raisi wa Tanzania" na imekuwa hivyo. TEC wamejitahidi na wanajitahidi kwa Kila namna kumharibia lakini imeshindokana mpaka Sasa.....jahazi linaenda, tena kwa usalama kabisa.
3. Pope sio Kitima au Mwamakula, WAPUMBAVU NYIE!!!! Isingekuwepo Sasa kama ingekuwa na akili za kiTEC.
Sasa kumbe unastress. Mstari wako tu wakwanza umefanya watu wakupuuze kabisa maana huku si kwakupunguzia stress zako sawa. Ulichiandika kinaakisi msongo wako wa mawazo hasa TEC yaonekana wanakupa stress sana ndo maana hata comment yako umejichanganyachanganya hata hueleweki unalenga nini.
Tafuta njia nyingine yakupunguza msongo wa mawazo na si kuwajadili TEC maana watazidi kukuvuruga tu mkuu.
 
Yani purpose iliyowapeleka Vatican ni kuhusu matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29. Msimamo wa TEC mlipingana nao tena bado mnaendelea kupingana nao kwa kulichafua kanisa.

Badala myajenge kwanza huku ndani, nyie mnakimbilia Vatican kwenda kujipendekeza! It doesnt work like that!
Msipoelewana na mbwa, mfuate mfuga mbwa. Hii ndio sheria namba moja.
 
Sasa kumbe unastress. Mstari wako tu wakwanza umefanya watu wakupuuze kabisa maana huku si kwakupunguzia stress zako sawa. Ulichiandika kinaakisi msongo wako wa mawazo hasa TEC yaonekana wanakupa stress sana ndo maana hata comment yako umejichanganyachanganya hata hueleweki unalenga nini.
Tafuta njia nyingine yakupunguza msongo wa mawazo na si kuwajadili TEC maana watazidi kukuvuruga tu mkuu.
Pole sana, mi sivurugwi na walioshindwa; labda washindi ndiyo wanaweza kunivuruga. Kwa maneno mengine, wa kunivuruga Mimi ni samia tu ikiwa hatofanya vizuri (mpaka Sasa Bado hajaharibu chochote hivyo Nina amani tele ewe nyumbu usiye na mawazo). Mpaka Sasa Samia ndiye mahindi na TEC ikiongozwa na yule mwenye roho mbaya kupitiliza ya ubaguzi, kitima, wamepoteza vibaya.
 
Marais wote walikua na walau staha na katoliki,lakini mwanamke Samia kalivua nguo kanisa,kaliweka linapostahili,lilidhani kama unavyodhani,yaani lipo juu ya serikali

Kwa tz huwezi amka na kuamuru kufunga misikiti,utakua bumunda,hapa umeonesha wewe ndiyo bumunda
Mkuu umeelewa ulichojibu? Nimekuuliza mbona katoliki hamjalifungia kama mlivyofanya makanisa ya gwajima?

Kwa nini hamjalifungia TEC? Badala yake mnaishia kujipendekeza kwao?
Serikali yako na huyu waziri mkuu wako aliomba kuongea na kitima
Screenshot_20260128-204532_1.jpg
 
Pole sana, mi sivurugwi na walioshindwa; labda washindi ndiyo wanaweza kunivuruga. Kwa maneno mengine, wa kunivuruga Mimi ni samia tu ikiwa hatofanya vizuri (mpaka Sasa Bado hajaharibu chochote hivyo Nina amani tele ewe nyumbu usiye na mawazo). Mpaka Sasa Samia ndiye mahindi na TEC ikiongozwa na yule mwenye roho mbaya kupitiliza ya ubaguzi, kitima, wamepoteza vibaya.
Wakepoteza vibaya alafu nyuma ya pazia mnaomba kuongea nae, mnapiga picha kibao na kusambaza media zote.
Mbona kwa gwajima harakaharaka mlivamia na kufunga makanisa yake?
Mnaonea wajinga, huko kwengine mnaufyata.
Pamoja na kuomba muongee nae bado alivyotoka hapo akawapiga tena za uso
Screenshot_20260128-204532_1.jpg
 
Mkuu umeelewa ulichojibu? Nimekuuliza mbona katoliki hamjalifungia kama mlivyofanya makanisa ya gwajima?

Kwa nini hamjalifungia TEC? Badala yake mnaishia kujipendekeza kwao?
Serikali yako na huyu waziri mkuu wako aliomba kuongea na kitima
View attachment 3536677
Mfano wa kufungia misikiti hujauelewa kabisa!?
Serikali haiwezi kujipendekeza kwa kanisa,tena serikali ya rais aliyelikemea kanisa hadharani na kulionya halina nguvu hiyo
TEC wamebaki na matamko kila siku na kuchamba waumini wao fukara
Una ushahidi nchemba aliliomba kanisa wakazungumze ofisini kwa waziri mkuu?
 
Msikiti kufungiwa inahusiana vipi?
Nimekuuliza Kama makanisa ya gwajima yalifungiwa mbona hamjayafungia ya katoliki? Hili swali ni gumu?

Serikali haiwezi kujipendekeza lakini mmetuma mawaziri wenu kwenda Vatican kuzungumzia yaliyotokea. Vatican inahusiana nini na yaliyotokea?

Taarifa zenu mlizoweka na picha za kutosha kila mainstream media waziri mkuu azungumza na kitima. Baada ya hapo kitima akawachapa za uso
 
Kuna siku nilikwambia una upeo mdogo ukabisha
Binadam mpumbavu haelewi mpaka mifano,wewe hata kwa mifano huelewi,huenda uko hatua ya nyuma ya unyumbulifu
 
Mfano wako sio relevant.
Nimekuuliza makanisa ya gwajima yalifungiwa mbona hamjafungia katoliki? Unaleta mfano wa msikiti kufungiwa, msikiti inahusiana vipi na hilo swali?
 
Back
Top Bottom