Ndani unapambana na TEC, nje unajipendekeza Vatican. Hizi ni akili ama matope!?

Ndani unapambana na TEC, nje unajipendekeza Vatican. Hizi ni akili ama matope!?

Mfano wako sio relevant.
Nimekuuliza makanisa ya gwajima yalifungiwa mbona hamjafungia katoliki? Unaleta mfano wa msikiti kufungiwa, msikiti inahusiana vipi na hilo swali?
Vuka hiyo hatua moja ya evolution/unyumbulifu kwanza ndiyo tuongee
 
Vuka hiyo hatua moja ya evolution/unyumbulifu kwanza ndiyo tuongee
Umekosa hata cha kuandika. Ndio maana niliwaambia machawa na viongozi wenu wote mabumunda
Mmeenda kuwafungia wachungaji wasio na mbele wala nyuma alafu kwa katoliki mmeufyata mkia, mmeishia kwenda kujipendekeza kwa papa awaombee. Mawaziri wawili wawili mmeongozana kuomba muombewe, aibu hii
 
Wakepoteza vibaya alafu nyuma ya pazia mnaomba kuongea nae, mnapiga picha kibao na kusambaza media zote.
Mbona kwa gwajima harakaharaka mlivamia na kufunga makanisa yake?
Mnaonea wajinga, huko kwengine mnaufyata.
Pamoja na kuomba muongee nae bado alivyotoka hapo akawapiga tena za uso
View attachment 3536683
Akili kisoda sana wewe, maneno ya kitima Sasa hivi ni kama giggy money tu
 
Akili kisoda sana wewe, maneno ya kitima Sasa hivi ni kama giggy money tu
Alafu mnamuita kuongea nae huku mkifanya kuwa habari kubwa.

Lini tena mnatuma jopo la mawaaziri kwa papa ili mkaombewe.
Machawa na hao viongozi wenu wote mabumunda
 
Pole wewe usiye na akili na isiyejua chochote ndiyo maana maandamano yenu yalibuma kiurahisi.
Mm sikuandamana. Nakupa pole wewe chawa na hao viongozi wako wa serikali mnaosafiri kwenda kuomba kuombewa wakati serikali haina dini
 
Back
Top Bottom