Ndani unapambana na TEC, nje unajipendekeza Vatican. Hizi ni akili ama matope!?

Ndani unapambana na TEC, nje unajipendekeza Vatican. Hizi ni akili ama matope!?

Ni kama kila waziri yuko na mission yake. Kila mtu anajiendea anavyoona inafaa, no organized mission for the same purpose.

Yani purpose iliyowapeleka Vatican ni kuhusu matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29. Msimamo wa TEC mlipingana nao tena bado mnaendelea kupingana nao kwa kulichafua kanisa.

Badala myajenge kwanza huku ndani, nyie mnakimbilia Vatican kwenda kujipendekeza! It doesnt work like that!

Hii sasa ndo huwa inaitwa mmeruka mkojo mmekimbilia mavi!
View attachment 3535727
Hawa wa ndani ni Mbwa, Serikali imeenda Kwa mwenye Mbwa. Uzuri Mwenye Mbwa amekiri trh 29 Oct haya kuwa Maandamano bali zilikuwa fujo na Vurugu. Na Kwa vurugu zile Maombi ni wajibu wao. Tunangoja tuone Mbwa nao wakirejea kwenye mstari🙏🙏🙏
 

Attachments

  • G_wzyCbXEAAgw3p.jpeg
    G_wzyCbXEAAgw3p.jpeg
    244.6 KB · Views: 19
This shows that we dwell in lies and concortions instead of facts and truth.

Kazi ya Kabudi hiyo maana anajua ushawishi wa Catholic duniani hivyo analazimisha engagement isiyo na mizizi vatican huku akina Kitima wanataka kumalizwa.
 
Papa anajua kila kitu hata kabla ya wao kwenda,

Fikra za kina Kombo zinawaendesha kisiasa kuwa Vatican ni top kama ikulu na Papa ni rais atatoa order huku chini washughulikiwe, the opposite is true, Papa ataomba ushauri kwa maaskofu wa Tanzania kujua nini kifanyike. Haha.
Anapewa vivid evidence ya uhusika wa TEC, unafikiri serikali haioni kanisani!?
 
KWA mujibu wa tafiti za afya ya magonjwa ya akili

Kila walipo watu wanne mmoja kati yao ana hana afya ya akili/dishi/chenga

..unaona jinsi ilivyo ..siyo kawaida sana watu wengi kuwa na akili za kawaida katika kufanya maamuzi ya kawaida,

akilli za kawaida sio kwa kila mtu..mbaya zaidi wasiokuwa na akili ndio walioshika mpini.
 
Hawa wa ndani ni Mbwa, Serikali imeenda Kwa mwenye Mbwa. Uzuri Mwenye Mbwa amekiri trh 29 Oct haya kuwa Maandamano bali zilikuwa fujo na Vurugu. Na Kwa vurugu zile Maombi ni wajibu wao. Tunangoja tuone Mbwa nao wakirejea kwenye mstari🙏🙏🙏
Kwa hiyo serikali imeenda kuombewa?
Kwa Nini hawajaenda Mecca?
 
Siyo kwamba wamepeleka ushahidi wa TEC kujihusisha na siasa na vurugu za oktoba 29!?
Kwamba Holy see hawajui hadi washitakiwe na wanasiasa? Give us a break dude! Unalifahamu kanisa hili lakini? Kanisa lililopambana na Adolf Hitler mpaka mwisho? Neno Jasusi limetoka kutoka kwa Jesuits! wachunguzi wakuu duniani!! aka kiboko cha papa!
 
BAKWATA na UVCCM wana utoto mwingi sana wanaliona Kanisa Katoliki ni kama lile genge la Mwamposa au Kuhani Mussa. Hebu ona usengerema kama huu
 

Attachments

  • VID-20260129-WA0000.mp4
    1.3 MB
Ni kama kila waziri yuko na mission yake. Kila mtu anajiendea anavyoona inafaa, no organized mission for the same purpose.

Yani purpose iliyowapeleka Vatican ni kuhusu matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29. Msimamo wa TEC mlipingana nao tena bado mnaendelea kupingana nao kwa kulichafua kanisa.

Badala myajenge kwanza huku ndani, nyie mnakimbilia Vatican kwenda kujipendekeza! It doesnt work like that!

Hii sasa ndo huwa inaitwa mmeruka mkojo mmekimbilia mavi!
View attachment 3535727
Wanatapatapa
 
Kwamba Holy see hawajui hadi washitakiwe na wanasiasa? Give us a break dude! Unalifahamu kanisa hili lakini? Kanisa lililopambana na Adolf Hitler mpaka mwisho? Neno Jasusi limetoka kutoka kwa Jesuits! wachunguzi wakuu duniani!! aka kiboko cha papa!
Jasusi neno la kiarabu kenge wewe, Quran inasema 'walaa tajassasu'..wala msijasusiane/msifuatiliane
Hapo serikali wamepeleka file la uhusika wa TEC kabla ya kutoa kibano, maana tume karibia inamaliza kazi
 
Chawa huwezi kuwaona kwenye huu uzi. Bado hadi wafanye kikao, hawajui waseme nini.
Chawa si kwamba akili hawana au hawaoni mambo yanavyoenda but wanafanya kulingana na kazi waliyotumwa. Kuna mda wanashindwa kutetea kwa yanayofanyika na hali ya utu inawajia,ukweli wanauona ndo maana wanakimbiaga kidogo
 
Jasusi neno la kiarabu kenge wewe, Quran inasema 'walaa tajassasu'..wala msijasusiane/msifuatiliane
Hapo serikali wamepeleka file la uhusika wa TEC kabla ya kutoa kibano, maana tume karibia inamaliza kazi
Kwa hiyo Vatikani wakiwaambia Serikali wasitoe kibano kwa TEC basi serikali haitowashtaki hao TEC au.Inamaana Serikali inaamuliwa maamuzi yake na VATIKANI na TEC??
Serikali kukimbilia Vatikani na kuomba waombewe ni dalili za kuwashindwa hao Wakatoriki, wanashindwa kuwashughulikia ndo maana wanaenda kujipendekeza VATIKANI.
 
Hawa wa ndani ni Mbwa, Serikali imeenda Kwa mwenye Mbwa. Uzuri Mwenye Mbwa amekiri trh 29 Oct haya kuwa Maandamano bali zilikuwa fujo na Vurugu. Na Kwa vurugu zile Maombi ni wajibu wao. Tunangoja tuone Mbwa nao wakirejea kwenye mstari🙏🙏🙏
Kwenda VATIKANI ni ishara huna uwezo wakuwashughulikia hao TEC ndo maana umeenda kusema Kwa papa. Yaan unagombana na mtu badala udeal nae yeye unaenda kusema kwa mzazi wake ni dalili za kushindwa hizo maana mzazi wake akisema muache unamuacha huwezi kumfanya kitu.
 
Kwenda huko baada ya kutatua matatizo ya ndani sijui wamewaza nini inaonekana huko hawana washauri wazuri wa mambo ya uhusiano wa kimataifa.
Maana uhusiano wa kimataifa kwa watu wako unaanzia ndani sasa hapa pana matatizo unaenda eti juu kwanza watakushangaa ingawaje utaratibu wa kanisa sio kukataa maombi ya kukutana.
Nilivyomuona Samuya na Ziara yake Vatikani baada ya kuwa mkuu wa kaya nikasema kweli Wakatoriki taasisi kubwa mno. Ni kweli baada ya Oct29 wamejipeleka viongozi 10 huko VATKANI sasa unashangaa wanaendaga kufanya nini huko? Kwanini wasielekee Macca kuwashtaki wakata vichwa wao? TEC ipo na itaendelea kusema ukweli kwa haki kabisa.
 
Jasusi neno la kiarabu kenge wewe, Quran inasema 'walaa tajassasu'..wala msijasusiane/msifuatiliane
Hapo serikali wamepeleka file la uhusika wa TEC kabla ya kutoa kibano, maana tume karibia inamaliza kazi
Serikali inafanya maamuzi kutokana na wasemacho Vatican? Nyie wenyewe huku mmeshindwa kuwashtaki TEC?

Nilikuambia hii serikali yako imejaa mabumunda inaonea wasiokua na lolote. Makanisa ya gwajima mlifunga haraka haraka Ila kwa wakatoliki mmeufyata mkia, mnaishia kujipendekeza vatican
 
Kila nikitaka kutoa stress basi nakuja humu jf kusoma comments za haters wa Samia, Kwakweli wanachekesha. Ni wazi kuwa WAMEKWAMA, WAMEFADHAIKA, WAMEUMBUKA, WAMEPYAMBYIKA, WANA HASIRA, WAMEKUMBWA NA AIBU n.k.

Tulieni haters wapumbavu;
1. Huyo ndo Mahmoud Kombo, Sergey Lavrov wa Africa!! Uwezo wake si wa kueleweka na watu wenye akili ndogo na wenye mihemko kama nyie vinyumbu vya lissu, lema na TEC.......kwa kifupi hamutoshi hata kuingia kwenye mjadala wake wowote, acha mbali kuwafikiria tu.
2. Huyo ndo Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Mungu alisema, "We utakuwa Raisi wa Tanzania" na imekuwa hivyo. TEC wamejitahidi na wanajitahidi kwa Kila namna kumharibia lakini imeshindokana mpaka Sasa.....jahazi linaenda, tena kwa usalama kabisa.
3. Pope sio Kitima au Mwamakula, WAPUMBAVU NYIE!!!! Isingekuwepo Sasa kama ingekuwa na akili za kiTEC.
 
Back
Top Bottom