Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Tena matope ya mavi ya mkorogo wa mkojoNi kama kila waziri yuko na mission yake. Kila mtu anajiendea anavyoona inafaa, no organized mission for the same purpose.
Yani purpose iliyowapeleka Vatican ni kuhusu matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29. Msimamo wa TEC mlipingana nao tena bado mnaendelea kupingana nao kwa kulichafua kanisa.
Badala myajenge kwanza huku ndani, nyie mnakimbilia Vatican kwenda kujipendekeza! It doesnt work like that!
Hii sasa ndo huwa inaitwa mmeruka mkojo mmekimbilia mavi!
View attachment 3535727
Huelewekagi uko upande gani!?,. hiyo Id yako ni kama upo nayo kimaslahi tu..Picha ya Papa tu anaonekana anamkebehi huyo Kombo.
Siyo kwamba wamepeleka ushahidi wa TEC kujihusisha na siasa na vurugu za oktoba 29!?Ni kama kila waziri yuko na mission yake. Kila mtu anajiendea anavyoona inafaa, no organized mission for the same purpose.
Yani purpose iliyowapeleka Vatican ni kuhusu matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29. Msimamo wa TEC mlipingana nao tena bado mnaendelea kupingana nao kwa kulichafua kanisa.
Badala myajenge kwanza huku ndani, nyie mnakimbilia Vatican kwenda kujipendekeza! It doesnt work like that!
Hii sasa ndo huwa inaitwa mmeruka mkojo mmekimbilia mavi!
View attachment 3535727
Mnajipendekeza kila sehemu Ila mmeshaambiwa huko na papa kuwa hawaitambui tume yenu, inatakiwa uchunguzi wa kujitegemeaSiyo kwamba wamepeleka ushahidi wa TEC kujihusisha na siasa na vurugu za oktoba 29!?
Kitu kinachoshangaza ni kuwa Samia na Genge lake hawajifunzi chochote!Wakiri uovu walioutenda, wawaombe msamaha waliowatendea uovu, ikiwa ni pamoja na familia ambazo zinaomboleza. Wakiwa na dhamira ya dhati ya kujutia uovu wao na kutaka kuigeukia haki, Kanisa litakuwa tayari kusimama katikati na kupalilia moyo wa msamaha. Lakini ujanja ujanja wa kutakatisha uovu, kamwe Kanisa haliwezi kushiriki katika uovu wao.
Papa anajua kila kitu hata kabla ya wao kwenda,Siyo kwamba wamepeleka ushahidi wa TEC kujihusisha na siasa na vurugu za oktoba 29!?