gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Vuka hiyo hatua moja ya evolution/unyumbulifu kwanza ndiyo tuongeeMfano wako sio relevant.
Nimekuuliza makanisa ya gwajima yalifungiwa mbona hamjafungia katoliki? Unaleta mfano wa msikiti kufungiwa, msikiti inahusiana vipi na hilo swali?
Umekosa hata cha kuandika. Ndio maana niliwaambia machawa na viongozi wenu wote mabumundaVuka hiyo hatua moja ya evolution/unyumbulifu kwanza ndiyo tuongee
Sigara kali huyo anawashwa mbele na nyuma.Huelewekagi uko upande gani!?,. hiyo Id yako ni kama upo nayo kimaslahi tu..
Akili kisoda sana wewe, maneno ya kitima Sasa hivi ni kama giggy money tuWakepoteza vibaya alafu nyuma ya pazia mnaomba kuongea nae, mnapiga picha kibao na kusambaza media zote.
Mbona kwa gwajima harakaharaka mlivamia na kufunga makanisa yake?
Mnaonea wajinga, huko kwengine mnaufyata.
Pamoja na kuomba muongee nae bado alivyotoka hapo akawapiga tena za uso
View attachment 3536683
Alafu mnamuita kuongea nae huku mkifanya kuwa habari kubwa.Akili kisoda sana wewe, maneno ya kitima Sasa hivi ni kama giggy money tu
Pole sana, hahahahahahaaaaaaaa!!Alafu mnamuita kuongea nae huku mkifanya kuwa habari kubwa.
Lini tena mnatuma jopo la mawaaziri kwa papa ili mkaombewe.
Machawa na hao viongozi wenu wote mabumunda
Pole mimi au nyie mabumunda. Nimekuuliza lini baraza zima la mawaziri litaenda kwa papa muombewe?Pole sana, hahahahahahaaaaaaaa!!
Wamahack account yako?Picha ya Papa tu anaonekana anamkebehi huyo Kombo.
Pole wewe usiye na akili na isiyejua chochote ndiyo maana maandamano yenu yalibuma kiurahisi.Pole mimi au nyie mabumunda. Nimekuuliza lini baraza zima la mawaziri litaenda kwa papa muombewe?
Mm sikuandamana. Nakupa pole wewe chawa na hao viongozi wako wa serikali mnaosafiri kwenda kuomba kuombewa wakati serikali haina diniPole wewe usiye na akili na isiyejua chochote ndiyo maana maandamano yenu yalibuma kiurahisi.
We kweli nyumbu wa lissu, yaani sijui kama unajielewa kwa chochoteMm sikuandamana. Nakupa pole wewe chawa na hao viongozi wako wa serikali mnaosafiri kwenda kuomba kuombewa wakati serikali haina dini