Ndani ya CCM hamna kabisa watu wenye Hekima, Busara na Akili wanaosikilizwa?

Ndani ya CCM hamna kabisa watu wenye Hekima, Busara na Akili wanaosikilizwa?

Ili litokee goli lazima lifanyike kosa. Tuendelee kuusoma mchezo lakini kelele za mashabiki zisipuuzwe
 
Nmeshangaa tu. Kuna watu wazima wengi na wasomi. Hakuna ambaye ana hekima,busara na akili akaweza mwelekeza samia haya mambo?
Mkuu mbona umeandika haraka haraka kama upo kwenye bajaji? Tuliza kichwa, kula chakula cha mchana alafu uandike tena.

#TwendenaMama2025.
 
Hicho chama kwa sasa kinamilikiwa na mafisadi. Wanachowaza ni wizi tu wa kura ili waendelee kutawala kimabavu, kupitia mgongo wa demokrasia feki.
 
Mkuu mbona umeandika haraka haraka kama upo kwenye bajaji? Tuliza kichwa, kula chakula cha mchana alafu uandike tena.

#TwendenaMama2025.
Ujumbe kwa mtu mwelewa umekamilika kabisa. Mimi sina chakula cha mchana nakula kwa wakati wowote ule mujarab
 
Njaa zao zinawafanya kuziba midomo, wakikohoa tu, out of system;
Kamuulize aliyekue DC Loiliondo na sijui siku hizi yuko wapi
 
Back
Top Bottom