Ndani ya CCM hamna kabisa watu wenye Hekima, Busara na Akili wanaosikilizwa?

Ndani ya CCM hamna kabisa watu wenye Hekima, Busara na Akili wanaosikilizwa?

Analima nyanya maybe kama Ally Hapi
Ndio wajue maisha ni mzunguuko. Yupo aliyemwambia zitto bungeni eti atamnyamzisha mpaka bunge liishe, sijui nini kilimpata aliporopoka tu, kiwembe kilimpitia na badala yake akanyamizashwa yeye.
 
Wapoo wenye akili ila ndo wanapiga mamilion unafikiri atashauriwa kituu Ili dili zao zisiendelee thubutu. Ata pakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.

Mpaka sasa lisu kaibuka mshindi.
 
Kinaongozwa na Syndicate na Cartels hivyo kuua, kuteka sio issue as long as wameendelea kukaa kwenye madalaka
Tz atuna tofauti na cameroon au uganda utofauti ni picha za marais ila nyuma ya pazia watu wametulia wanaitafuna nchi wamejaa damu kila mahali
 
Maccm yanajali maslai yakoo tuu...Ni wajumbe ndio haooo
 
Back
Top Bottom