Ndani ya daladala moja na Mshana Jr..

Mkuu , kuna mazingira flani inakua ngumu kupiga picha , unaweza ukajizolea vimondo vya maana
Huyo uliyemwona alikuwa na rangi gani na ana urefu gani? Macho yake yakoje? Sauti yake ikoje? Ukinijibu nitajua umemwona kweli mshana jr. Sijawahi kutana naye ila kuna viashiria naweza hisi.
 
Kama ni yeye na unamfunua humu jiandae kutaga mayai, hanaga mzaha na mtu, humu ndani yeye ni balozi.
 
Mkuu ,mm si mwandishi wa habar kama kila time nipige tu mapicha

Hayo mambo ya kila kitu kupiga picha yanaweza mda mwengine kukuweka pabaya
Mi nna uwezo wa kumpiga picha mtu na asijue[emoji1] [emoji1] [emoji1] kijanja tyu,unajfanya unachat kumbe unamfotoa kimya kimya
Ila chunga simu isitoe saut ile ya kwachaaaa au itoe mwanga[emoji1] unatumia akili tehehehhe
 
[emoji23][emoji23]Hha mkuu kutaga mayai tena mbona unanitisha ila anyway hata mm sio mwepesi ninayo mikoba niliorothishwa toka kwa babu zngu pemba
Pima pengine sio kwa Mshana Jr mkuu, Pemba uchawi hakuna ila majini, mshana majini kwake ni mifugo sasa sijui utatokaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…