habar zenu wakuu , tupoe na mihangaiko ya hapa na pale
Moja kwa moja kwenye mada husika
Tangia nijiunge na jf kumekua na huyu member aitwae mshana jr yaan mada zake nying ni kuhusu yale mambo ya kiswahili yaani mambo ya tunguli , ramli , kutafsiri ndoto nk
Kwa kweli binafsi si mpenzi wa mada zake huyu jamaa ikizingatiwa kua si mambo ya kuyatilia maanani sna
Basi siku ya jana tarehe 26/8 wakati narudi kwenye mihangaiko yangu ndani ya usafiri wa umma aiseeee !!
Sitaki kuamini kama yule jamaa si mshana jr ,kwa jinsi gari nzima yaan ipo kimya jamaa anachambua mambo ya ramli kiunaga ubaga hadi nikapigwa na butwaaa yaani elimu kama hizi watu wapata wapi au wamerithishwa na mababu ?
Jamaa ni libonge hilo , limevalia ki brother man ila vitu anavyochambua unaweza sema katoka kuzimu
Kumbe mshana jr ni bonge vile , kwa jins jamaa alivyokua anachambua mambo ya ramli na confidence hapo hapo nikasema yeess leo nimepanda gari moja na mshana jf
Mshana jr tafadhali sna mkuu hemu njoo utoe uthibitisho huku kua ulikua ni wewe halisi au kama unawanafunzi wako hapa dar city centre pia tujue
Ahsanteni .....