Ndani ya daladala moja na Mshana Jr..

Asiwadanganye hayupo hata hiyo bongo ndo maana mnamwona saa 8 usiku. Mwenzenu yupo anapiga nondo nimeshatoneshwa na mtu wake. cc: mshana jr.
 
Asiwadanganye hayupo hata hiyo bongo ndo maana mnamwona saa 8 usiku. Mwenzenu yupo anapiga nondo nimeshatoneshwa na mtu wake. cc: mshana jr.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
 
Tangu lini mshana jr akapanda basi??? Afu ungo utaachwa wapi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Mshana apande dala dala na umugundue??

Atakuwa mzembe wa mwaka na kitu ambacho hakiwezi kutokea
 
[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji144] [emoji144] Jamani sasa mimi niko wangapi? Nilishawahi kumsaidia tu mtu mmoja huko tena ilikuwa home kwa jamaa yangu.. Mara moja tuu

Njoo nyumbani kwangu unisaidie na mimi jamani Mshana Jr. Na wewe nitakusaidia [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Njoo nyumbani kwangu unisaidie na mimi jamani Mshana Jr. Na wewe nitakusaidia [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Niambie utanisaidiaje kwanza [emoji12] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Jamaa ni libonge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
na
Umesahau Makutano Mabibo
 
Mshana jr toa ufafanuz mm binafsi nataman kukuona na kukujua
Hamna shida ngoja nirejee nchini tutaonana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…