Marahaba dogo naona watu wanatafuta tafu? Wengi huwa wanahisi hiyo picha hapo ni ya kwako. Yajayo yanasikitisha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] shikamoo Dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marahaba dogo naona watu wanatafuta tafu? Wengi huwa wanahisi hiyo picha hapo ni ya kwako. Yajayo yanasikitisha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] shikamoo Dada
mi nadhani swissme.Itakua jolie
Save the date dada....Marahaba dogo naona watu wanatafuta tafu? Wengi huwa wanahisi hiyo picha hapo ni ya kwako. Yajayo yanasikitisha.
Asiwadanganye hayupo hata hiyo bongo ndo maana mnamwona saa 8 usiku. Mwenzenu yupo anapiga nondo nimeshatoneshwa na mtu wake. cc: mshana jr.Ufafanuzi
Huyo jamaa si mimi japo pia nilishawahi kufananishwa naye zaidi ya mara moja nje ya Jamiiforums
Mimi sio kibonge nina kilo 120 tu... Wajihi wangu ni cheusi tii...
Sehemu ambazo nishadaiwa kuonekana ni Mbeya, Kigoma Bukoba Mwanza kahama Arusha na Sumbawanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]Asiwadanganye hayupo hata hiyo bongo ndo maana mnamwona saa 8 usiku. Mwenzenu yupo anapiga nondo nimeshatoneshwa na mtu wake. cc: mshana jr.
July lazima. au August mwanzoni.Save the date dada....
Noted...!!!July lazima. au August mwanzoni.
[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji144] [emoji144] Jamani sasa mimi niko wangapi? Nilishawahi kumsaidia tu mtu mmoja huko tena ilikuwa home kwa jamaa yangu.. Mara moja tuu
Niambie utanisaidiaje kwanza [emoji12] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Njoo nyumbani kwangu unisaidie na mimi jamani Mshana Jr. Na wewe nitakusaidia [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Jamaa ni libonge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau Makutano MabiboUfafanuzi
Huyo jamaa si mimi japo pia nilishawahi kufananishwa naye zaidi ya mara moja nje ya Jamiiforums
Mimi sio kibonge nina kilo 120 tu... Wajihi wangu ni cheusi tii...
Sehemu ambazo nishadaiwa kuonekana ni Mbeya, Kigoma Bukoba Mwanza kahama Arusha na Sumbawanga
[emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]na
Umesahau Makutano Mabibo
Ufafanuzi
Huyo jamaa si mimi japo pia nilishawahi kufananishwa naye zaidi ya mara moja nje ya Jamiiforums
Mimi sio kibonge nina kilo 120 tu... Wajihi wangu ni cheusi tii...
Sehemu ambazo nishadaiwa kuonekana ni Mbeya, Kigoma Bukoba Mwanza kahama Arusha na Sumbawanga
Hamna shida ngoja nirejee nchini tutaonanaMshana jr toa ufafanuz mm binafsi nataman kukuona na kukujua
Wewe sio bonge?[emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35]