McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,070
- 12,596
Hahah kweli aisee ila skupata akil hio
Jamaa amesema au yule ni moja kati ya wanafunz wako vibonge afu wanavaa kibrazamen.??[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ufafanuzi
Huyo jamaa si mimi japo pia nilishawahi kufananishwa naye zaidi ya mara moja nje ya Jamiiforums
Mimi sio kibonge nina kilo 120 tu... Wajihi wangu ni cheusi tii...
Sehemu ambazo nishadaiwa kuonekana ni Mbeya, Kigoma Bukoba Mwanza kahama Arusha na Sumbawanga
Hata mimiMshana jr toa ufafanuz mm binafsi nataman kukuona na kukujua
Alinyoa kipara na ana mwanya???[emoji23]Mi kuna siku nimemuona Gudume live yuko na demu Mlimani City, jamaa mmoja hivi age imeenda halafu brazameni wa zamani, alivyokuwa anaongea alikuwa ana-sound kama Gudume na zile chai zake!
Hapana mimi sio bongeWewe sio bonge?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] mmhhh..Mshana Jr wala hayuko kama mnavyofikiria guys! Ni mbigi hivi japo sio wa kukera! Anapenda kutembelea nchi flani hivi inayotajwa kuwa inakuja juu sana kiuchumi Duniani! Pia ni mjuzi wa moja kati ya Lugha 2 kubwa sana ktka nyanja za kimataifa, Mcheshi sana na ana marafiki wengi sana! Kitu kikubwa ni uwezo wake wa kuchambua hoja hasa za kisiasa kimapenzi na kiimani! Ukimuona kwa macho huwezi kudhani kama anaeza kuongelea tunguri! Muonekano wa kibrazamen na utanashati wake vitakufanya usimpeleke kwenye tunguri! Anaeza kupanda daladala lakini ni mmoja and kati ya vijana ambao walianza kumiliki usafiri toka enzi za baloon kuitwa gari ya kifahari! Anaishi katika moja ya majiji makubwa hapa Tizii!
MUHIMU ni kwamba jamaa ana nyota kali sana ya Mademu na mkwanja!
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa amesema au yule ni moja kati ya wanafunz wako vibonge afu wanavaa kibrazamen.??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji24] [emoji24] [emoji24]Hata mimi
Afro. Lakini sio Shiraz partyHa ha ha... Mimi napiga PARA tu.... Sijajua mshana
Afro. Lakini sio Shiraz party
Alikuwa amevaa miwani ya jua?Ndo nataka aje hapa atoe uthibitisho
Nahisi atakutunuku kitumbua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niambie utanisaidiaje kwanza [emoji12] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Nahisi atakutunuku kitumbua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]