Ndani ya daladala moja na Mshana Jr..

Ndani ya daladala moja na Mshana Jr..

naona tunajitahid kuvumbua members wa jamiiForum.........hv n nan mwngn aliwah kugundulika kitaa huko kuwa naye n ambassador wa JF....[HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] jr
 
Mkuu uliyemuona siye Mshana Jr,Jana alikuwa ofisini kwake kutwa nzima na jioni alikuwa ktk kijiwe kama kawaida.Ulimfananisha kwa huo uchambuzi uliousikia wa Hugo jamaaa,huenda anaiga tu
 
Mshana Jr wala hayuko kama mnavyofikiria guys! Ni mbigi hivi japo sio wa kukera! Anapenda kutembelea nchi flani hivi inayotajwa kuwa inakuja juu sana kiuchumi Duniani! Pia ni mjuzi wa moja kati ya Lugha 2 kubwa sana ktka nyanja za kimataifa, Mcheshi sana na ana marafiki wengi sana! Kitu kikubwa ni uwezo wake wa kuchambua hoja hasa za kisiasa kimapenzi na kiimani! Ukimuona kwa macho huwezi kudhani kama anaeza kuongelea tunguri! Muonekano wa kibrazamen na utanashati wake vitakufanya usimpeleke kwenye tunguri! Anaeza kupanda daladala lakini ni mmoja and kati ya vijana ambao walianza kumiliki usafiri toka enzi za baloon kuitwa gari ya kifahari! Anaishi katika moja ya majiji makubwa hapa Tizii!
MUHIMU ni kwamba jamaa ana nyota kali sana ya Mademu na mkwanja!
 
Ufafanuzi
Huyo jamaa si mimi japo pia nilishawahi kufananishwa naye zaidi ya mara moja nje ya Jamiiforums
Mimi sio kibonge nina kilo 120 tu... Wajihi wangu ni cheusi tii...
Sehemu ambazo nishadaiwa kuonekana ni Mbeya, Kigoma Bukoba Mwanza kahama Arusha na Sumbawanga
Jamaa amesema au yule ni moja kati ya wanafunz wako vibonge afu wanavaa kibrazamen.??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mshana Jr wala hayuko kama mnavyofikiria guys! Ni mbigi hivi japo sio wa kukera! Anapenda kutembelea nchi flani hivi inayotajwa kuwa inakuja juu sana kiuchumi Duniani! Pia ni mjuzi wa moja kati ya Lugha 2 kubwa sana ktka nyanja za kimataifa, Mcheshi sana na ana marafiki wengi sana! Kitu kikubwa ni uwezo wake wa kuchambua hoja hasa za kisiasa kimapenzi na kiimani! Ukimuona kwa macho huwezi kudhani kama anaeza kuongelea tunguri! Muonekano wa kibrazamen na utanashati wake vitakufanya usimpeleke kwenye tunguri! Anaeza kupanda daladala lakini ni mmoja and kati ya vijana ambao walianza kumiliki usafiri toka enzi za baloon kuitwa gari ya kifahari! Anaishi katika moja ya majiji makubwa hapa Tizii!
MUHIMU ni kwamba jamaa ana nyota kali sana ya Mademu na mkwanja!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] mmhhh..
 
Back
Top Bottom