EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Pale mjengoni "kundi la bundi" linaweza kutendea kazi hoja za NGAMIA na KESI ambazo zilitolewa na kwa nyakati tofauti. Hoja ya pili ya KESI inaonekana kama ilipendeza mfugaji wa Kibaigwa anayetembeza mkong'oto wa fimbo kwa kila anayesimama mbele ya maslahi yake.
Huyu mfugaji alimwambia KESI kwamba hoja waye akiileta kwenye mkutano wa "kundi la bundi" ujao (ambao ndio huu) huenda ikafanyiwa kazi na kundi hilo, ila bahati mbaya KESI & NGAMIA wamepotelea kusikojulikana, msishangae bundi mwingine akaibua sakata hili na likapata baraka za mabundi ya mjengoni maana bundi wa safari hii wanafanana rangi na ni "hybrid" ya Mfugaji mkuu, wanamsikiliza mkuu wao kila asemalo.
Muda utaongea
Washaanza View attachment 1693892View attachment 1693893