Ndani ya hii miaka mitano nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea

Ndani ya hii miaka mitano nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea

Kwa hali inavyoendelea kwa nini tusimshawishi Mbowe agombee Urais 2025 na anaweza kushinda.

Watu wakichoka humchagua yoyote ili mradi aliyepo aondoke tuu.
 
Ina maana kabla ya 2025 tunabadilisha katiba tuwe na awamu mbili mbili za miaka saba saba..Jiwe anaanza upya awamu ya kwanza ya miaka 7 hadi 2032 afu anamalizia kipindi cha pili hadi 2039. Kuna anayenuna hapa? Habari ndiyo hiyo...nani wa kumzuia kama akiamua?? Hayupo!! Kwa hiyo tokea leo tujiandae kisaikologia tuna miaka mingine 13.
 
Sithani kama atafika 2025. Yule bundi mkuu wa mjengoni naye sithani. Miaka 5 mingi jamani. Mungu naye ana ratiba zake

Miaka 5 mingi jamani. Mungu naye ana ratiba zake
IMG-20190719-WA0046.jpg
 
Ina maana kabla ya 2025 tunabadikisha katiba tuwe na awamu mbili mbili za miaka saba saba..Jiwe anaanza upya awamu ya kwanza ya miaka 7 hadi 2032 afu anamalizia kipindi cha pili hadi 2039. Kuna anayenuna hapa? Habari ndiyo hiyo...nani wa kumzuia kama akiamua?? Hayupo!! Kwa hiyo tokea leo tujiandae kisaikologia tuna miaka mingine 13.
Amewakamata wasanii, viongozi wa dini zote, vyombo vyote, Bunge, Mahakama, ameuwa upinzani nani wa kupinga.
 
Hii ndiyo style ya kina Kagame na yule mwingine aliyependwa na mungu zaidi, Mkurunzinza...
 
Ina maana kabla ya 2025 tunabadikisha katiba tuwe na awamu mbili mbili za miaka saba saba..Jiwe anaanza upya awamu ya kwanza ya miaka 7 hadi 2032 afu anamalizia kipindi cha pili hadi 2039. Kuna anayenuna hapa? Habari ndiyo hiyo...nani wa kumzuia kama akiamua?? Hayupo!! Kwa hiyo tokea leo tujiandae kisaikologia tuna miaka mingine 13.
Nakumbuka zilikuwa ni sherehe za Sabasaba pale Dr Omar Ally Juma alikwenda kutembelea maonesho yale, aliporudi tu usiku tukaambiwa hatunaye duniani ameshafariki na kesho yake fasta akazikwa Pemba ndio Mkapa akamuibiwa Dr Shein.

Tuache kiburi cha uzima, hakuna aijuwaye saa wala dakika.

Mungu akiamuwa kutenda hata mwaka huu mtu humalizi.
 
Museveni yeye anasema siyo kama hataki kuachia madaraka lakini hajaona Mganda anayeweza kuiongoza nchi hiyo hivyo inabidi aendelee tu, na hapa kwetu kuna wakati niliwahi kusikia kawimbo kama hako.
Kale kanaimbwa kwamba miradi niliyoanzisha nani ataimalizia?

Kama ndiyo hako kawimbo, kanaweza kuwa kanafaa.
 
Amewakamata wasanii, viongozi wa dini zote, vyombo vyote, Bunge, Mahakama, ameuwa upinzani nani wa kupinga.
Kaka ni nchi nzima mwendo wa mapambio kusifu na kuabudu ...yaani kama vile mwana wa adamu atakavyokuwa anashuka mawinguni...

Ukishakamata Bunge, Mahakama kuna nini tena? Ni kutawala utakavyo - maisha yanakuwa soft mno kama unamenya ndizi.. .hakuna wa kukuuliza why and how.
 
Kaka ni nchi mzima mwendo wa mapambio..ni kumsujudia tu .yaani kama vile mwana wa adamu atakavyokuwa anashuka mawinguni...

Ukishakamata Bunge, Mahakama kuna nini tena? Ni kutawala utakavyo - maisha yanakuwa soft mno kama unamenya ndizi.. .hakuna wa kujuuliza why and how hazipo
Wafanye wawe masikini ili uwatawale ndo wajamaa na makomunist wote ufanya.atakae pesa ni lzm akuabudu
 
Pale mjengoni "kundi la bundi" linaweza kutendea kazi hoja za NGAMIA na KESI ambazo zilitolewa na kwa nyakati tofauti. Hoja ya pili ya KESI inaonekana kama ilipendeza mfugaji wa Kibaigwa anayetembeza mkong'oto wa fimbo kwa kila anayesimama mbele yake na maslahi yake.

Huyu mfugaji alimwambia KESI kwamba hoja waye akiileta kwenye mkutano wa "kundi la bundi" ujao (ambao ndio huu) huenda ikafanyiwa kazi na kundi hilo, ila bahati mbaya KESI amepotelea kusikojulikana msishangae bundi mwingine akaibua sakata na likapata baraka za mabundi ya mjengoni maana bundi wa safari hii wanafanana rangi na ni hybrid ya Mfugaji mkuu, wanamsikiliza mkuu wao kila asemalo.

View attachment 1651996

Muda utaongea
Kundi la bundi kwa kiingereza ni parliament. Mengine sina uhakika nayo, tuendele kuchangia.
 
Kundi la bundi kwa kiingereza ni parliament. Mengine sina uhakika nayo, tuendele kuchangia.

Whenever animals gather in groups, they are formally called:
  • Apes: a shrewdness
  • Badgers: a cete
  • Bats: a colony, cloud or camp
  • Bears: a sloth or sleuth
  • Bees: a swarm
  • Buffalo: a gang or obstinacy
  • Camels: a caravan
  • Cats: a clowder or glaring; Kittens: a litter or kindle; Wild cats: a destruction
  • Cobras: a quiver
  • Crocodiles: a bask
  • Crows: a murder
  • Dogs: a pack; Puppies: a litter
  • Donkeys: a drove
  • Eagles: a convocation
  • Elephants: a parade
  • Elk: a gang or a herd
  • Falcons: a cast
  • Ferrets: a business
  • Fish: a school
  • Flamingos: a stand
  • Foxes: a skulk or leash
  • Frogs: an army
  • Geese: a gaggle
  • Giraffes: a tower
  • Gorillas: a band
  • Hippopotami: a bloat
  • Hyenas: a cackle
  • Jaguars: a shadow
  • Jellyfish: a smack
  • Kangaroos: a troop or mob
  • Lemurs: a conspiracy
  • Leopards: a leap
  • Lions: a pride
  • Moles: a labor
  • Monkeys: a barrel or troop
  • Mules: a pack
  • Otters: a family
  • Oxen: a team or yoke
  • Owls: a parliament
  • Parrots: a pandemonium
  • Pigs: a drift or drove (younger pigs), or a sounder or team (older pigs)
  • Porcupines: a prickle
  • Rabbits: a herd
  • Rats: a colony
  • Ravens: an unkindness
  • Rhinoceroses: a crash
  • Shark: a shiver
  • Skunk: a stench
  • Snakes: a nest
  • Squirrels: a dray or scurry
  • Stingrays: a fever
  • Swans: a bevy or game (if in flight: a wedge)
  • Tigers: an ambush or streak
  • Toads: a knot
  • Turkeys: a gang or rafter
  • Turtles: a bale or nest
  • Weasels: a colony, gang or pack
  • Whales: a pod, school, or gam
  • Wolves: a pack
  • Zebras: a zeal
 
Mkuu sio vizuri ujue huu ni uchonganishi 😎 😎
 
Back
Top Bottom