Ndani ya hii miaka mitano nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea

Ndani ya hii miaka mitano nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea

Hilo la kuongeza miaka lipo lakini (nakili) Nakiri sehemu hiki kitu kuwa tutafanya Uchaguzi 2025 tena tutapata kiongozi mkubwa mwingine atakayemalizia miaka kumi ya CCM na baada ya hapo 2035 CHADEMA itachukua nchi, ukitaka upimie jambo moja la karibu na musoma wala cyo Magu litaenda CHADEMA 2025! Naandika kwa undani Wa hali ya juu nikisema Well come 2035.
nakili
Nakiri
 
Kaka ni nchi nzima mwendo wa mapambio kusifu na kuabudu ...yaani kama vile mwana wa adamu atakavyokuwa anashuka mawinguni...

Ukishakamata Bunge, Mahakama kuna nini tena? Ni kutawala utakavyo - maisha yanakuwa soft mno kama unamenya ndizi.. .hakuna wa kukuuliza why and how.
Mtelezo tyuuuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inachekesha na kuumiza pia lol
 
Kweli ni kumi tena maana kwa mbali nasikia sauti ikisema, "watu wakikuhitaji uwatumikie halafu wewe unawakatalia unaonyesha kiburi. Mimi ni mtumishi wa watu. Nimekubali kuendelea kuwatumikia kwa muda mwingine tena. Mkisema inatosha nitapumzika, maana na mimi natamani kuwalea wajukuu jamani"
Ahahahaha haki ya Mungu umetembea na beat mulemule.
"Au nasema uongo ndugu zangu"
 
Hakika kila NAFSI itaonja UMAUTI...hayo ni maneno ya ALLAH (sw)
Akaweka siri kubwa ni lini na wakati gani umauti utatokea na haitazidi wala kupungua hata sekunde.
TUIKUBALI HAKI NA TUIKATAE BATWIL
 
Back
Top Bottom