EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Mentor wake ni PK sa kuna nini hapo?Jiwe ukimuangalia kwa jicho pevu na angavu, kisha ukamfikiria kwa fikra pevu ana kila dalili ya kufia ikulu. Muda utaongea.
Ni hatari tupu mkuu. Watanzania kazi tunayo.Mentor wake ni PK sa kuna nini hapo?
Hapa ndio naukumbuka wimbo wa R.I.P Cpt. J. Komba "CCM MBELE KWA MBELE"Ni hatari tupu mkuu. Watanzania kazi tunayo.
Unamaanisha kuwa na hili li jitu nalo ni li kibwaHilo la kuongeza miaka lipo lakini nakili sehemu hiki kitu kuwa tutafanya uchaguzi 2025 tena tutapata kiongozi mkubwa mwingine atakayemalizia miaka kumi ya CCM na baada ya hapo 2035 Chadema itachukua nchi, ukitaka upimie jumbo moja LA karibu na musoma wala cyo magu litaenda Chadema 2025 ! Naandika kwa undani Wa hali ya juu nikisema Well come 2035.
Kweli ni kumi tena maana kwa mbali nasikia sauti ikisema, "watu wakikuhitaji uwatumikie halafu wewe unawakatalia unaonyesha kiburi. Mimi ni mtumishi wa watu. Nimekubali kuendelea kuwatumikia kwa muda mwingine tena. Mkisema inatosha nitapumzika, maana na mimi natamani kuwalea wajukuu jamani"kumi tena. "nasema uongo jameni"
Uchaguzi wa mwaka huu hali ilikuwa mbaya zaidi kwa kijani. TISS ndio walikuwa wanatoa uamuzi wa nani atangazwe mshindi. Wanajua ilivyokuwa na jinsi walivyofanya kazi kubwa ya kuiingiza madarakani awamu hii. Ilikuwa shughuli pevu hasa! Kwanza kuongeza kura ili waonekane watu wengi wamepiga kura, na pili kumtangaza "mshindi".Mie naamini ataondoka baada ya hii miaka 5. Kwanza najua TISS huwa wanawapa tathimini halisi ya uchaguzi ulivyoisha na kaisi cha 'kura halali alizopata' ili aelewe anapendwaje au amechokwaje.
Soon 2021 inapelekwa bungeni .Ajenda hio ipo pale pale Kessy na Nkamia wamewatoa Kama hadaa
CCM , TISS , tume , polisi matokeo halali wanayajua mpaka aibu kabisa kwa Zanzimana aliyefanya siasa miaka mitano peke yake na kujidai nchi iko uchumi wa kati . Case study Arusha CDM 5 , Tabora CDM 4 . From reliable source.Uchaguzi wa mwaka huu hali ilikuwa mbaya zaidi kwa kijani. TISS ndio walikuwa wanatoa uamuzi wa nani atangazwe mshindi. Wanajua ilivyokuwa na jinsi walivyofanya kazi kubwa ya kuiingiza madarakani awamu hii. Ilikuwa shughuli pevu hasa! Kwanza kuongeza kura ili waonekane watu wengi wamepiga kura, na pili kumtangaza "mshindi". Waliofanya hivyo ni watoto wetu, ndugu zeu, waume zetu na wake zetu bila kusahau wajomba na shangazi zetu. Wamejionea wazi jinsi SISIEM ilivyochokwa. Hata JIWE mwenyewe anajua ilivyokuwa kazi kubwa. Kilichokuwa kinatokea hakukitegemea kabisa! Hana raha hapo alipo.