Ndani ya hii miaka mitano nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea

Kwa hali inavyoendelea kwa nini tusimshawishi Mbowe agombee Urais 2025 na anaweza kushinda.

Watu wakichoka humchagua yoyote ili mradi aliyepo aondoke tuu.
 
Ina maana kabla ya 2025 tunabadilisha katiba tuwe na awamu mbili mbili za miaka saba saba..Jiwe anaanza upya awamu ya kwanza ya miaka 7 hadi 2032 afu anamalizia kipindi cha pili hadi 2039. Kuna anayenuna hapa? Habari ndiyo hiyo...nani wa kumzuia kama akiamua?? Hayupo!! Kwa hiyo tokea leo tujiandae kisaikologia tuna miaka mingine 13.
 
Amewakamata wasanii, viongozi wa dini zote, vyombo vyote, Bunge, Mahakama, ameuwa upinzani nani wa kupinga.
 
Hii ndiyo style ya kina Kagame na yule mwingine aliyependwa na mungu zaidi, Mkurunzinza...
 
Nakumbuka zilikuwa ni sherehe za Sabasaba pale Dr Omar Ally Juma alikwenda kutembelea maonesho yale, aliporudi tu usiku tukaambiwa hatunaye duniani ameshafariki na kesho yake fasta akazikwa Pemba ndio Mkapa akamuibiwa Dr Shein.

Tuache kiburi cha uzima, hakuna aijuwaye saa wala dakika.

Mungu akiamuwa kutenda hata mwaka huu mtu humalizi.
 
Hilo jambo halipo na hawezi kuongeza muda.
akifanya hivyo atakuwa amefanya kosa kubwa sana kisiasa na usalama wa taifa letu utakuwa hatiani
 
Museveni yeye anasema siyo kama hataki kuachia madaraka lakini hajaona Mganda anayeweza kuiongoza nchi hiyo hivyo inabidi aendelee tu, na hapa kwetu kuna wakati niliwahi kusikia kawimbo kama hako.
Kale kanaimbwa kwamba miradi niliyoanzisha nani ataimalizia?

Kama ndiyo hako kawimbo, kanaweza kuwa kanafaa.
 
Amewakamata wasanii, viongozi wa dini zote, vyombo vyote, Bunge, Mahakama, ameuwa upinzani nani wa kupinga.
Kaka ni nchi nzima mwendo wa mapambio kusifu na kuabudu ...yaani kama vile mwana wa adamu atakavyokuwa anashuka mawinguni...

Ukishakamata Bunge, Mahakama kuna nini tena? Ni kutawala utakavyo - maisha yanakuwa soft mno kama unamenya ndizi.. .hakuna wa kukuuliza why and how.
 
Wafanye wawe masikini ili uwatawale ndo wajamaa na makomunist wote ufanya.atakae pesa ni lzm akuabudu
 
Kundi la bundi kwa kiingereza ni parliament. Mengine sina uhakika nayo, tuendele kuchangia.
 
Kundi la bundi kwa kiingereza ni parliament. Mengine sina uhakika nayo, tuendele kuchangia.

Whenever animals gather in groups, they are formally called:
  • Apes: a shrewdness
  • Badgers: a cete
  • Bats: a colony, cloud or camp
  • Bears: a sloth or sleuth
  • Bees: a swarm
  • Buffalo: a gang or obstinacy
  • Camels: a caravan
  • Cats: a clowder or glaring; Kittens: a litter or kindle; Wild cats: a destruction
  • Cobras: a quiver
  • Crocodiles: a bask
  • Crows: a murder
  • Dogs: a pack; Puppies: a litter
  • Donkeys: a drove
  • Eagles: a convocation
  • Elephants: a parade
  • Elk: a gang or a herd
  • Falcons: a cast
  • Ferrets: a business
  • Fish: a school
  • Flamingos: a stand
  • Foxes: a skulk or leash
  • Frogs: an army
  • Geese: a gaggle
  • Giraffes: a tower
  • Gorillas: a band
  • Hippopotami: a bloat
  • Hyenas: a cackle
  • Jaguars: a shadow
  • Jellyfish: a smack
  • Kangaroos: a troop or mob
  • Lemurs: a conspiracy
  • Leopards: a leap
  • Lions: a pride
  • Moles: a labor
  • Monkeys: a barrel or troop
  • Mules: a pack
  • Otters: a family
  • Oxen: a team or yoke
  • Owls: a parliament
  • Parrots: a pandemonium
  • Pigs: a drift or drove (younger pigs), or a sounder or team (older pigs)
  • Porcupines: a prickle
  • Rabbits: a herd
  • Rats: a colony
  • Ravens: an unkindness
  • Rhinoceroses: a crash
  • Shark: a shiver
  • Skunk: a stench
  • Snakes: a nest
  • Squirrels: a dray or scurry
  • Stingrays: a fever
  • Swans: a bevy or game (if in flight: a wedge)
  • Tigers: an ambush or streak
  • Toads: a knot
  • Turkeys: a gang or rafter
  • Turtles: a bale or nest
  • Weasels: a colony, gang or pack
  • Whales: a pod, school, or gam
  • Wolves: a pack
  • Zebras: a zeal
 
Mkuu sio vizuri ujue huu ni uchonganishi 😎 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…