Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Itakuwa kwenye ilani ya chama
Huwa vingine vinaandikwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa vingine vinaandikwa wapi?
Wewe utakuwa MwalimuVipi kuhusu matumizi ya kalamu nyekundu?
Na kama alikuwepo hakutumbuliwa hadi leo ?Wakati Rais Samia anaapishwa hakuna aliyekuwa amevaa tai nyekundu??
Ohooooo!!!Vipi kuhusu kuvaa kufuli nyekundu Mkuu mama anaruhusu au wataishia getini!? 😂😂😂
Hivi itifaki hazimo ndani ya Katiba ?Ni suala la kiitifaki.
Hii inatokana na utamaduni wa kidiplomansia.
Spika wa Bunge yupo sahihi kiitifaki
Na pale ametoa utaratibu wa kiitifaki.
Kama anawamudu wabunge mbona Mdee anademka humo ndani na hastahili lakini anamwacha?Siyo kila kitu lazima kiandikwe kwenye katiba!
Spika anawamudu wabunge ni eneo lake la utawala.
Tai nyekundu ni Power tie. Ni ishara ya mamlaka. Hii ni dress code kwenye protocals.Huwezi kuvaa msuli ukaenda kuapishwa. Ingawa haijandikwa kwenye KATIBA.
... hoja dhaifu! Mafunzo ya kawaida kabisa ya udereva wanafundishwa gari lolote lililowasha kimulimuli lipewe kipaumbele. Msafara wa Rais pikipiki na magari yenye vimulimuli yamezingira msafara wote mengine yaliyosalia yamewasha full halafu unauliza ujinga. Mataga mna matatizo haswa. ErythrocyteSio kila kitu lazima kiandikwe.
Wewe ukisimamishwa barabarani upishe rais anapita hua unauliza hii imeandikwa wapi?
Bavicha akili mapeleka wapi?
Mdee ni mbunge wa CCM.Kama anawamudu wabunge mbona Mdee anademka humo ndani na hastahili lakini anamwacha?
Serikalini unamaanisha pale ofisi za idara ya kazi karibu na Akiba? Kama ni hapo alikuwa akijitolea tu kama intern hakuwa na pay cheque ya serikaliMdee ni mbunge wa CCM.
Mdee hajawahi kuwa mpinzani tokea atoke serikalini na kupewa ubunge wa viti maalumu Chadema 2005!
Endelea kukariri bwashee!Serikalini unamaanisha pale ofisi za idara ya kazi karibu na Akiba? Kama ni hapo alikuwa akijitolea tu kama intern hakuwa na pay cheque ya serikali